Kwanini ulikubali ku cancel hapo ndo ulikosea badiliaha tu gari nyingine uletewe.Naomba kuwasilisha hili kwa faida ya wengi,Mimi niliagiza gari japan kupitia Real motor japan ni miezi kama mitatu sasa.
Kila kitu kikawa kinaenda sawa, nikajulishwa gari imepakiwa nkapewa na jina la meli itafika tarehe ngapi nikawa naitrack fresh kabisa.
Nikaambiwa wanaandaa documents wanitumie through DHL,nimesubiri mpaka hakuna document inayotumwa.
Nimawasumbua sana hapo imebaki one week meli ifike Tanzania wananipanga tu tutatuma tutatuma.mwisho wakaniambia you can cancel the order.
Nikakubali nikacancel ili wanirefund hela yangu.nkatuma details zote za account yangu, up to now kimya natuma message wamenichunia.
Tuwe waangalifu ndugu zangu ntaleta mrejesho zaidi.
Naombeni anayejua hatua za kuchukua
NB: Nilituma pesa kwenye account yao ya Tanzania shillings.
Naomba kuwasilisha hili kwa faida ya wengi,Mimi niliagiza gari japan kupitia Real motor japan ni miezi kama mitatu sasa.
Kila kitu kikawa kinaenda sawa, nikajulishwa gari imepakiwa nkapewa na jina la meli itafika tarehe ngapi nikawa naitrack fresh kabisa.
Nikaambiwa wanaandaa documents wanitumie through DHL,nimesubiri mpaka hakuna document inayotumwa.
Nimawasumbua sana hapo imebaki one week meli ifike Tanzania wananipanga tu tutatuma tutatuma.mwisho wakaniambia you can cancel the order.
Nikakubali nikacancel ili wanirefund hela yangu.nkatuma details zote za account yangu, up to now kimya natuma message wamenichunia.
Tuwe waangalifu ndugu zangu ntaleta mrejesho zaidi.
Naombeni anayejua hatua za kuchukua
NB: Nilituma pesa kwenye account yao ya Tanzania shillings.
Real motors ndio wanaongoza kwa magari mazuri na bei iko juu,labda kama kakutana na wanaigeriaKwani mkiambiwaga agizeni na sbt au be foward mnasema wana magari ghali alafu mabovu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya kanunueni mazima kwa bei kitonga.
Unalalamika uskute umeagiza ist au passo[emoji23]
Hahaha naija flavor dot comReal motors ndio wanaongoza kwa magari mazuri na bei iko juu,labda kama kakutana na wanaigeria
Real Motor Japan wenyewe kabisa wala sio matapeli.Wiki chache zilizopita kuna mtu alikuja na malalamiko ya changamoto ya kuagiza gari Real Motor Japan.
Tulimtahadharisha kwa sababu muuzaji (ambaye tulihisi ni tapeli) alianza kumpa vitisho endapo asipolipia gari kwa wakati.
Nilisema pia kwa muda sasa website ya Real Motor Japan inaonesha security yake haipo sawa. Ikiwa na maana kwamba matapeli wanaweza kuivamia na kutapeli wateja. Sasa sijui uliagiza gari kutoka genuine website ya Real Motor Japan au ulikutana na matapeli.