Utapeli!!! utapeli!!!! jamanii

Makaanji

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
45
Reaction score
17
Kuna watu wapo pale maeneo ya Tank bovu kama unaenda Tegeta.Hawa jamaa wanataka kuwapiga pesa sana watu.kwani wameandaa hostel kwa ajili ya watafuta kazi,kila siku unalipia 1000 kwa wiki tatu,then ada ya fomu ni sh 50000.harafu wanakwambia tutakutafutia kazi,basi hapo utakaa mpaka basi hakuna cha kazi wala nini? na hela yako watu wamepiga tayari
 

Hayo ni ya kujitakia mwenyewe, kazi tangu lini unatufutiwa?
 
Wajinga ndio waliwao......kwa nini utafutiwe kazi??.......hangaika mwenyewe ili ujue ugumu wa kupata kazi ili ukipata usiichee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…