Utapeli: TBC haionyeshi kombe la Dunia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,455
Reaction score
283,795
Unajua Bwana, niliposikia eti TBC wanadanganya Watu kwamba wataonyesha mechi za kombe la Dunia nikashangaa sana! Kwamba Hawa makapuku wametoa wapi uwezo huo?

Nikajua tu kwamba hawana uwezo huo, Leo nimejaribu kuuliza wadau Kama hicho walichoropoka wametimiza, majibu yake yamenifanya nijipongeze

Ama kweli Mbwa ukimjua jina hakung'ati, Hamna kitu

Poor TBC!

Muhimu: Lengo la kuleta Uzi huu ni kukomesha uongo Tanzania
 
Achana na TBCCM, tumia Azam channels
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…