Utapeli mpya kupitia kampuni ya Azam

Mkuu hebu orodhesha vizuri vitu alivyo ibiwa!
Laptop Mac mpya 1, laptop 2 za kawaida, External, Simu 2 Smartphone's, 100,000 cash Na vifaa vingine. Vidogo vidogo kwa ajiri ya office yake!
 
Laptop Mac mpya 1, laptop 2 za kawaida, External, Simu 2 Smartphone's, 100,000 cash Na vifaa vingine. Vidogo vidogo kwa ajiri ya office yake!
Ok let say
Mac mpya = 1M
Laptop 2 each 1M =2M
2 Smart phones each 300000=600000
Cash 100,000
Total 3,700,000
Vitu vya ofisi kwakuwa havina jina hatuwezi kuvipa thamani!
Na hayo ni makadirio ya juu...
Hivyo basi bado taarifa zako zina zua maswali...
Hivi hivyo vifaa alikuwa amevibebea wapi?
Kwenye gari alikuwa peke yake?
 
Stori ina loopholes kibao....
 
Ni Kitabu Cha Simulizi Gani Nikakinunue Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…