Utapeli mkubwa unafanywa na KAYENGA AUCTION MART

Namahochi

Senior Member
Jan 1, 2016
138
98
Hili kundi la watu matapeli, wanojiita KAYENGA AUCTION MART, wanafanya minada ya vitu vibovu hapa Arusha na baadhi ya maeneo yanayozunguka Arusha.

Huwatangazia wanainchi kuwa kwa niaba ya bank fulani watafanya mnada wa vitu vilivyokamatwa na wadaiwa sugu wa bank hizo, lakini kiukweli vitu hivyo c vya bank bali ni vya kwao tena vibovu walivyokusanya kwenye maduka ya kawaida ambavyo ni vibovu, watu hao huwa wanauza tv screen, simu, computer,friji, taa za umeme, flash & memory card, makabati, na vitu vingine ambavyo vingi ni vibovu ambavyo vina uwezo wa kuwaka pale wanapokuzia tu, yaani kama ni cmu itawaka pale kwenye mnada lkn ukienda kuweka line haisomi, kama lap top itawaka pale kwenye mnada lkn haina uwezo wa ku access vitu vingi sana.

Ushaidi ni huu, watu hao kabla au baada ya minada huwa wanaoneka kwenye maduka ya cmu na electronic wakiulizia vitu vibovu ili wakaviuze kwenye mnada.

Wewe mwanainchi kuwa makini na watu hawa unaweza kukutana nao ukadhani ni watu wa maana kumbe utapeli mtupu.
 
Mbona sio wao tu,huu mchezo upo sehem nyingi saana.
Ila wengine huwa wanachomekea vya mnada na vya kutoa madukani.
Mie mpaka nakufa sintonunua kitu cha mnada,naona ni kama laana fulani hivi,maana unanunua huku unajua kabisa kwamba ni dhulma upande mmoja,ila unajifanya kwamba hujui.Aisee hii kitu hata sitakagi kuisikia
 
Si mnasema arusha ni wajanja tangu lini mmasai akawa mjanja hata chup hajui
 
Iyo tabia imekuwepo kitambo
Da hii cm ninyotumia nimenunua kwao. Wanaweka na stika za bei kubwa ukiona unaambiwa hiyo ndiyo ilikuwa bei ya dukani. Ila cm yangu bado inadunda. Kweli vitu vyao vingi vibovu.
 
Back
Top Bottom