Mwakitobile
JF-Expert Member
- Oct 4, 2012
- 452
- 120
Mambo guyz me ndo rachel ambaye hiyo issue inanihusu,isee nimeshanggaa sana ,simfahamu huyo mtu,na nashangaa kwa nini kaamua kutumia jina langu,hiyo namba sio yangu, me namba yangu imeeishia 66 ni tigo 12, jaman msinisome vibaya,me kwanza nipo iringa nafanya kazi restless development.jina halisi ni rachel kabwelile,hilo mwakapalila ni jina lingine la mzee wangu,so nikaamua kutumia facebuk kwa ajili ya usalama kwenye masuala ya kazi,nimefahamu iyo ishu sasa hivi. I beg guyz sio rachel mimi huyu mtu kaamua tu kunichafua,me sio tapaeli wala sijawahi kufanya utapeli.

nyie ndio wezi wenyeweLete ushahidi. usichafue sifa ya centre for environment.
Join Date 4th January 2013
Posts: 1
Likes Received: 0
Likes Guven: 0
Mwanzo ulikuwemo humu au kuna mtu kakuambia kua una skendo ndio maana ukaamua kujiunga jamii forums? Na pia mbona akaunti yako ya facebook umeiblock? Kweli dunia imeharibika sana...
huyu dada niko kama namuona anavyotoa macho na kijasho.project imevimba,polisi wacheze nae
kwani wewe ni mahakama? au we ni tomaso nin enh?Lete ushahidi. usichafue sifa ya centre for environment.

Intelijensia imemuumbua..tuache kuendekeza njaa jamani.
Ha ha haka ni kademu flani kamemaliza Udom,nafikiri kwao Mbeya na kanaishi Mbeya!dah maisha magumu mpaka Recho umekuwa tapeli?
Matapeli wanatumia hadi jina la Rais, itakua la Rachel asiejulikana??