shadow recruit
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,844
- 384
lete ushahidi. Usichafue sifa ya centre for environment.
ushahidi upi zaidi ya hyo meseji hapo juu,we mtu wa ajabu sana..namba ya huyo mtu anaejiita rachel ni 0713749735
Tena full name ni Rachel Mwakapalila !!! Chezeiya TCRA wewe!ushahidi upi zaidi ya hyo meseji hapo juu,we mtu wa ajabu sana..namba ya huyo mtu anaejiita rachel ni 0713749735
Tena full name ni Rachel Mwakapalila !!! Chezeiya TCRA wewe!
wiki iliyopita kuna kampuni ilipost kazi za Research Assistant kupitia Zoom inaitwa Centre for Environment Protection.Jana saa tano usiku nikatumiwa meseji hii
Habari,naitwa rachel frm Centre for environment protection hapa dar,nilipitia CV yako mchana for research assistant and i will help you to get this job,mshahara ni 1.4 million tshs per mnth,but kuna gharama yake,inabidi unipe laki tatu ukishapata mshahara wa kwanza,kama upo tayari do the following,kesho asubuh by saa 5 uwe umetuma scaned copy ya vyeti vyako to visionafricaf@gmail.com na sh elfu 10 by tigo pesa kwny hii namba ili nimpe mtu wa interview kama advance akupitishe 100% siku ya interview,ukishafanya hvyo tutakupigia simu lini uje for interview.make sure umetuma kabla ya saa tano.
Lete ushahidi. usichafue sifa ya centre for environment.
Mambo guyz me ndo rachel ambaye hiyo issue inanihusu,isee nimeshanggaa sana ,simfahamu huyo mtu,na nashangaa kwa nini kaamua kutumia jina langu,hiyo namba sio yangu, me namba yangu imeeishia 66 ni tigo 12, jaman msinisome vibaya,me kwanza nipo iringa nafanya kazi restless development.jina halisi ni rachel kabwelile,hilo mwakapalila ni jina lingine la mzee wangu,so nikaamua kutumia facebuk kwa ajili ya usalama kwenye masuala ya kazi,nimefahamu iyo ishu sasa hivi. I beg guyz sio rachel mimi huyu mtu kaamua tu kunichafua,me sio tapaeli wala sijawahi kufanya utapeli.
Join Date 4th January 2013
Posts: 1
Likes Received: 0
Likes Guven: 0
Mwanzo ulikuwemo humu au kuna mtu kakuambia kua una skendo ndio maana ukaamua kujiunga jamii forums? Na pia mbona akaunti yako ya facebook umeiblock? Kweli dunia imeharibika sana...
hata mimi wamekula 10,000 yangu laana zao hao tena kesho napeleka amba hii pccb na polisi namba ya simu yao ninayo ya aliyeomba pesaLete ushahidi. usichafue sifa ya centre for environment.