MOI JOHN
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 1,735
- 1,085
Una bahati, ungejichanganya wanakupeleka kule wanakonigia huku njiani wanawasiliana na wenzao kuwa mtego umenasa wajipange. Ukifikishwa linakuwa kundi la vibaka wanakuniga+kukupiga mpaka utoe hela.hahaahaaaa utapeli wa kijinga sana,jamaa wanaangusha hela wanakwambia wameokota mkagawane,kidogo wanipate ila nikamwambia twende tukagawanie kwa trafic pale,akagoma ila ndo nilikua nimeshampa 1000.