Me nilisha sema nikimjua hata mmoja ama zangu ama zakeWatoke hapa yaani 400k kizembe hivyo [emoji2960]
Ww jamaa n bwege, et huwezi kuweka majina ya huyo tapeli kwa sababu za kiusalama [emoji23][emoji23][emoji23] kwan ungetapeliwa ungeenda kwa nani kushtaki.?
Afu umeenda polisi kupeleka taarifa [emoji24][emoji24][emoji24] unadhani kuna jipya utapata baada ya kupeleka hizo taarifa.?
Naunga mkono hoja.Ww jamaa n bwege, et huwezi kuweka majina ya huyo tapeli kwa sababu za kiusalama [emoji23][emoji23][emoji23] kwan ungetapeliwa ungeenda kwa nani kushtaki.?
Afu umeenda polisi kupeleka taarifa [emoji24][emoji24][emoji24] unadhani kuna jipya utapata baada ya kupeleka hizo taarifa.?
Nakazia.
Unaanzaje kutuma Pesa bila uthibitisho wa kumpigia simu mtu unayetakiwa kumtumia tena kwa namba yake unayoifahamu? Binafsi siwezi kuibiwa kwa kutuma meseji ya ile pesa tuma kwenye namba hii. Hao wezi wanatumia udhaifu wa wa TZ wengi kutuma pesa bila ya kuthibitisha upande wa pili ilimradi tu alikua anadaiwa na mtu fulani. BTW unaweza kuiripoti hiyo namba polisi/Kwa mtandao unaokupatia huduma za mzwasiliano na itafungiwa mara moja. Ukitaka ifuatiliwe kwa kina zaidi Ripoti polisi
π π π π π π π π πWatoke hapa yaani 400k kizembe hivyo [emoji2960]