Nubian Ancient JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 958 Reaction score 1,182 Feb 13, 2024 #1 Kuna hiyo Kampuni hapo kama kwenye picha inavyoosha, Anatapeli watu kwa Kuwaaminisha kuwa inafanya biashara ya kuuza Laptop hapo mjini Dodoma. Ukichat nae ukimuuliza kuhusiana na eneo ilipo Ofisi, anatuma Location ambayo Ofisi haipo na walishafukuzqa hapo. Jamaa anayetapeli watu kwa kutumia hiyo Kampuni anaitwa au anatumia jina la OSCAR NEMES, msomi aliyewahi kusoma Chuo Cha UDOMA hapo. Huko Facebook anaendelea kutapeli watu kila kukicha naomba Tuwe Makini na Huyo mtu.
Kuna hiyo Kampuni hapo kama kwenye picha inavyoosha, Anatapeli watu kwa Kuwaaminisha kuwa inafanya biashara ya kuuza Laptop hapo mjini Dodoma. Ukichat nae ukimuuliza kuhusiana na eneo ilipo Ofisi, anatuma Location ambayo Ofisi haipo na walishafukuzqa hapo. Jamaa anayetapeli watu kwa kutumia hiyo Kampuni anaitwa au anatumia jina la OSCAR NEMES, msomi aliyewahi kusoma Chuo Cha UDOMA hapo. Huko Facebook anaendelea kutapeli watu kila kukicha naomba Tuwe Makini na Huyo mtu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,673 Reaction score 1,251,102 Feb 13, 2024 #2 Duh aiseee
Huyaa Dr JF-Expert Member Joined Jan 12, 2023 Posts 313 Reaction score 874 Feb 14, 2024 #3 Wajinga ndio waliwao....... Sio Mimi ni wahenga walisema
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,440 Reaction score 74,054 Feb 14, 2024 #4 Huyaa Dr said: Wajinga ndio waliwao....... Sio Mimi ni wahenga walisema Click to expand... Na Hawaishi Hawa Watu
Huyaa Dr said: Wajinga ndio waliwao....... Sio Mimi ni wahenga walisema Click to expand... Na Hawaishi Hawa Watu
miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 2,361 Reaction score 8,485 Feb 14, 2024 #5 Kuna walikua wanajiita Zanzibar west, ni matapeli wa app ya kupatana
Nubian Ancient JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 958 Reaction score 1,182 Feb 18, 2024 Thread starter #6 Yaani ni mtihani Watapeli ni wengi sana
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,440 Reaction score 74,054 Feb 18, 2024 #7 ANCIENT FROM EGYPT said: Yaani ni mtihani Watapeli ni wengi sana Click to expand... Chama Kimeshika Hatam
ANCIENT FROM EGYPT said: Yaani ni mtihani Watapeli ni wengi sana Click to expand... Chama Kimeshika Hatam
Nubian Ancient JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 958 Reaction score 1,182 Feb 19, 2024 Thread starter #8 Kennedy said: Chama Kimeshika Hatam Click to expand... Haaaahaa eti chama!
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 158,365 Reaction score 775,921 Feb 19, 2024 #9 Jeshi la polisi na mamlaka ya mawasiliano wamemshindwa au hawajapata taarifa zake?
Nubian Ancient JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 958 Reaction score 1,182 Feb 21, 2024 Thread starter #10 moudgulf said: Jeshi la polisi na mamlaka ya mawasiliano wamemshindwa au hawajapata taarifa zake? Click to expand... Sina hakika na hilo
moudgulf said: Jeshi la polisi na mamlaka ya mawasiliano wamemshindwa au hawajapata taarifa zake? Click to expand... Sina hakika na hilo