Ni vigumu kwa mtu muongo kuuona ukweli, kwa kuwa wao wamezoea kudanganya na ndio maana inakuwa ni vigumu kwao kuuona uongo hata ule mweupe.
Ushauri: wanasema , ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo, kama mwanamke anataka kuolewa hana sababu ya kuuliza juu ya jambo hilo, ni kuboresha tu uhusiano, na mwanaume atajipeleka mwenyewe kutoa posa.........
gia zipo nyingi ww mfn.1.gia ya chips kavu2.gia ya sausage3.gia ya baga ( especialy za bojou Moroco)4.gia ya blackbry (ata kama mchina)etc.umeonae now day ladies wanaamini kuwa sisi ni waongo siku zote hasa ktk mahusiano.
true mdada!!!!!!!!!!1mimi ukinianzia na hilo neno tu,haijalishi upo serious au haupo serious,moja kwa moja nakuchukulia wewe ni muongo,na hunioni tena
kwa wanafunzi ukitumia hizi unampaka kiulainii! lakini kwa mdada mwenye 30's hebu jaribu uone!gia zipo nyingi ww mfn.1.gia ya chips kavu2.gia ya sausage3.gia ya baga ( especialy za bojou Moroco)4.gia ya blackbry (ata kama mchina)etc.
\gia zipo nyingi ww mfn.1.gia ya chips kavu2.gia ya sausage3.gia ya baga ( especialy za bojou moroco)4.gia ya blackbry (ata kama mchina)etc.
gia zipo nyingi ww mfn.1.gia ya chips kavu2.gia ya sausage3.gia ya baga ( especialy za bojou Moroco)4.gia ya blackbry (ata kama mchina)etc.
kabisa mkuu! Hiyo gia labda uitumie kwa hawa hakielimu, tena o level sio a level, manake hiyo hatauitumie kwa watoto wa uswahilini bado wengine wanaruka kamba na hung'oi mtu hapokwa wanafunzi ukitumia hizi unampaka kiulainii! Lakini kwa mdada mwenye 30's hebu jaribu uone!
umeonae! Hiyo ni kwa madent zaidihiyo ni kwa madenti
kwa wanafunzi ukitumia hizi unampaka kiulainii! lakini kwa mdada mwenye 30's hebu jaribu uone!
mambo yamebadilika siku hizi wasichana pia nao wamejua kuwa wavulana ni waongo hivyo ukija na gia za ndoa wanajua tu kuwa huo ni uzushi
Hiyo style ya kutangaza ndoa wakati wa kutongoza ishapitwa na wakati, na nyie wakaka asipende kucheza na hisia za watu hasa wale ambao hajajua janja zenu za kutaka kuchezea na kusepa.Mara nyingi ukimtaka msichana kimahusiano ya kimapenzi huuliza UTANIOA au unataka kunichezea tu? kwa mfano msichana kama huyo ukimwambia ndiyo nitakuoa halafu ukishamaliza mambo yako ukasepa,kunamadhara gani katika future yako?
Hapo Kwenye red ndo pananitia utata. Yeye ndo anachezewa wewe huchezewi???[/COLOR]
ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa!..madhara ni mengi lakn kubwa zaidi ni kuwa utaonekana ni muongo_sijaona tatizo kwani amekuambia umuambie moja kati ya hayo mawili aliyo kuuliza..ni bora umwambie tu kwamba unamchezea kama hauna mpango wa kumuoa...au wakuu mnasemaje?
Huu ndio utaratibu sahihi japo kinadada mara nyingi huwa mwaingia kwenye ndoa siku unaingia kwenye mahusiano jambo ambalo si sahihi na mwanaume hilo wazo anakuwa hanalo.
Kumbe wee bado eheeeeee, ngoja nianze kutafuta gear, sijui nianze kwa kufunga? ngoja kwanza, bado sijapata TemboCardMasterCard ila pia sifakubwa ni kwamba mimi si shabiki wa "siasa uchwara"
Spanish lady mbona mimi siku zileee hukuniuliza kama nitakuoa au nataka kukuchezea ? au uso wangu unaaminika ?wadada wanakurupuka au?
talaka zile za utotoni mlipokuwa mkicheza baba na mama hazihesabiki sweety.haaaaaaa! Usikute mimi ni kibibi nishapewa talaka mara 3. Shauri yako.