Utanidai mia... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utanidai mia...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by sarikoki, Oct 31, 2012.

 1. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kudadadeki...huu ni wizi wa mchana...enyi wenye maduka na migahawa ya chakula komeni kabisa na hii mbinu mpya ya uwizi wa mchana... eti unaenda dukani tena kubwa tu...anakurudishia chenji alafu anakuambia utanidai mia au miambili saa nyingine... nilizoea kwenye mabaa lakini naona inasambaa sasa hata kwenye maduka mengine.
  Naichukia sana hii tabia na huwa wanakuambia kwa sauti kukiwa na watu ili usichomoe..... maana wanajua kabisa utaona noma kukomalia jiti hehehehe,...... ebu piga maesabu akifanya hivyo kwa watu 30 ka siku ni ngapi anaingiza.
   
 2. T

  Tetra JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Umenena Kweli,,haka ka tabia kanazidi kuota mizizi..
  Dawa ni kutowaonea aibu
   
 3. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Mi nadai kwa sauti, tena naesma mimi sikai maeneo haya embu nipe fasta!!!!!!!!!! Shoprite walianza hio tabia watu wakaandika barua chezeya wabogo!!!!!!!!!!!! Siku hizi wanawafania wazungu tu. Mi kwa mangi ikishindikana namwambia NIPE BUBLISH wakale madogo baaaaas!
   
 4. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  mi naona tatizo liko kwako na siyo kwa muuzaji, we c ukatae kuacha hiyo mia au 200, maana kama ingekuwa ni kwako ndo imepungua asingekuelewa so why wewe umuelewe?
  siku moja nilikuwa baa, nikaagiza mitungi yng, katika kulipa ikawa 5200, nikampa huyo demu 5000 akakomaa na 200, nikasema isiwe taabu nikampa 500, akazingua kuwa hana 300 nikamkomalia vilevile mpaka akaanza kutukana nikaona ooh isiwe taabu, nikamtafuta meneja wa baa nikamuelezea ishu ilivyo yule demu alimindiwa mbaya na muda c mrefu alifukuzwa maana nasikia ndo zilikuwa zake kuabuse wateja, na unajua tena baa ukipoteza mteja kama mimi ujue umepoteza kundi, maana pekeyangu nikitulia wk end napiga kreti so nikiwa na mlupo ndo ucpime

  kwa hiyo ndugu usichukie wala nini tip hailazimishwi hutolewa kwa hiari, dai chako hata kama ni 50, ni ya kwako na hakuna aliyekusaidia kutafuta. na pia nikupe principle mpja ya fedha, ukitaka kuwa na hela jaribu ku-manage small costs; moja wapo ikiwa hiyo ya keep change
   
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  kip chench @ work!
   
 6. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mie huwa nawaambia ntarudia change yote so kaa nayo then ikikamilika ntakuja chukua!
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kero hili pia kwa sura nyingine hata hawa wanaojiita Vodacom wanalichangia!
  Mf. Wameondoa vocha ya 500, wakaleta 450 ! Mantiki yake nini? Ambapo kati ya miamala 10 ya manunuzi ya vocha ya 450 ukitoa 500 kwa muuzaji takribani mara 8 hivi utaambiwa 50 sina au uifate badae!
  Unaishi Temeke na vocha umenunua Kino, utaifata 50? Aidha muuza vocha faida yake ktk vocha hiyo ni 50 hiyohiyo.
  So far wamemtengenea muuzaji apate mia by force!
  Then kwenye kauli mbiu yao wanakwambia "KAZI KWAKO" ni kweli kazi kwetu.
   
 8. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hapana Charm hii imezidi mtu anamiliki duka limejaa kila kit atake kip chench.. ni wizi tu hamna lolote.
   
 9. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Umeonaeeee.... utapeli mkubwa sana huu.
   
 10. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0


  Hehehehe ..Lara bana..anywei hapo kwenye rangi umenifundisha kitu..ntaomba hata wembe au sindano hata kama sina shida nao.
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Kweli hii tabia imezidi sana aiseee kha!! Eti sina mia sina mia mbili zimekuwa nyingi mno..................
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaha
   
 13. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ha haaa huu usanii upo sana dawa ni kuwa mkali,na pia ukitaka kuwakomesha tembea na chenchi za kutosha akisema bei unatoa kuanzia shs. mia mbili,mia,hamsini hata kumi ikibidi.
   
 14. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  binti yangu hiyo tumezoea sisi tu...
   
 15. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  To be safe unanunua kupitia MPESA...
   
 16. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  wizi umeanzia kwa rais wa nchi! sasa mpaka wa migahawa wamerithi, kazi ipo!
   
 17. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  nilipo ona mia nimestuka sana.
  Mimi kinacho niudhi ni hawa voda. wana wizi wa kimacho macho. vocha unakuta ina 450/- lakini wanakuuzia mia tano. inakuaje nitoe 500/- isiyo ya kifisadi halafu nikiingiza kwenye simu ingie 450?. ni hayo tu. mia
   
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  hahaha halafu wao wanaiba chenji zile kubwa kubwa...
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  Duh haya mambo nilifikiri ni mimi tu ninae kutana nayo kumbe kila mtu?
   
Loading...