slow_learner Senior Member Joined Nov 24, 2016 Posts 152 Reaction score 144 Jan 31, 2017 Thread starter #21 schneider said: Kwanini nikuulize? Click to expand... Kwa sababu unataka kuuliza [emoji3]
slow_learner Senior Member Joined Nov 24, 2016 Posts 152 Reaction score 144 Nov 4, 2021 Thread starter #22 pistmshai said: Mkuu..! Fridge langu huwa lina uwezo wa kuhifadhi barafu 50 kwa wakati mmoja. Sasa huwa nikiweka barafu 20 huwa zinaganda kwa masaa 5, leo nataka nigandishe 15 tu..! Unafikiri baada ya muda gani zitakuwa zimeshaganda zote? Click to expand... Muda stahiki ni masaa hayo 5 usifanye haraka kwa uchache na haraka zako
pistmshai said: Mkuu..! Fridge langu huwa lina uwezo wa kuhifadhi barafu 50 kwa wakati mmoja. Sasa huwa nikiweka barafu 20 huwa zinaganda kwa masaa 5, leo nataka nigandishe 15 tu..! Unafikiri baada ya muda gani zitakuwa zimeshaganda zote? Click to expand... Muda stahiki ni masaa hayo 5 usifanye haraka kwa uchache na haraka zako
Mamserenger JF-Expert Member Joined Oct 14, 2019 Posts 1,156 Reaction score 2,120 Nov 4, 2021 #23 slow_learner said: Unafikiri kupunguza kipimo kunaathiri ufanisi katika kazi? La hasha muda wa kugandisha utabaki kuwa ule ule. Click to expand... Kujibu hivi tuu nimesha kugundua...[emoji23] Kwani barafu si limesha ganda Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
slow_learner said: Unafikiri kupunguza kipimo kunaathiri ufanisi katika kazi? La hasha muda wa kugandisha utabaki kuwa ule ule. Click to expand... Kujibu hivi tuu nimesha kugundua...[emoji23] Kwani barafu si limesha ganda Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,822 Reaction score 5,425 Nov 4, 2021 #24 Bado unaendelea na ile tabia yako???
slow_learner Senior Member Joined Nov 24, 2016 Posts 152 Reaction score 144 Nov 4, 2021 Thread starter #25 maroon7 said: Utanilipa? Click to expand... Endapo kutakuwa na ulazima bila shaka
slow_learner Senior Member Joined Nov 24, 2016 Posts 152 Reaction score 144 Nov 4, 2021 Thread starter #26 Ndiyo ninaendelea nayo
I wish i have Senior Member Joined Nov 2, 2021 Posts 135 Reaction score 62 Nov 5, 2021 #27 slow_learner said: [emoji129] [emoji118] tayari nishakujibu Click to expand... ππππππππ
slow_learner said: [emoji129] [emoji118] tayari nishakujibu Click to expand... ππππππππ
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,350 Reaction score 25,868 Nov 5, 2021 #28 kati ya siro na wewe nani anaakili zaidi?