Utani: Viongozi wa EAC wamemtoa Magufuli kwenye what's up group

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,992
Kuna kibonzo hiki cha utani cha KOURIER kinachosema kuwa kuna group la watsap la maraisi wa Afrika mashariki.

Sasa kila wakiamua ku-chat na Magufuli wakati wa kazi hapatikani yuko busy na kupambana na rushwa na uzembe kazini.Hataki ku-chat kwenye WARSAP nao wakati wa kazi.

Kwa kuwa muda mwingi hawampati Wameamua kumtoa kwenye watsap group.Magufuli anajaribu kuwatafuta baada ya kumaliza kazi hawapati kwani wamemtoa Watsap group akiwapigia simu zinajibu hazipatikani wamezira..

ven2opmvw6i2gn1lmp5676a436da714.jpg
 
Back
Top Bottom