sijui nauli utalipiwa na nani tena, si unaona sasa utani unavyokugharimu!!!!jamani hii imenitokea na hakika nimejilaumu sana tusipende utani... kuna dada nilikutana nae kwenye gari (city bus) hapa dar, ktk maongez kumbe tumesoma chuo kimoja, bas tukazid kugandana na mawasiliano full na kwakuwa tunakaa eneo moja basi tukawa tunasubiriana kituoni na nikiri kuwa amenilipia sana nauli...bas mimi nilimuambia wazi kuwa ninategemea kufunga ndoa hivi karibun yeye akasema yuko wimbo (singo) tuliendelea kupeana kampani ukizingatia mchumbaangu yuko mbali...siku moja akanitext "unajua kucare sana yaani unacheza nafasi fulani hivi ingawa siyo" kwa UTANI nikareply "unaonaje nikaicheza kweli hadi mwenyewe atakapokuja?" akajibu sawa!! tangu siku iyo na ndevu zangu nikaanza kuitwa baby!! imeenda kumbe mwenzangu kamaanisha mi kuona hivyo nikamuambia "nisamehe sijawah kufanya hivyo tubaki marafiki tu!" akagoma na kudai hatanisamehe NEVER! na hataki kuniona tena ananichukia!! nimemuomba msamaha kagoma kunisikiliza!! nafanyaje!?
sijui nauli utalipiwa na nani tena, si unaona sasa utani unavyokugharimu!!!!
Wavulana banaaa
Wavulana banaaa
Huyo dada ana matatizo ama???
Na wewe huo utani uache sio vizur kucheza na hisia za mtu kwan wakat wa kutaniana hukuona kuwa yeye yuko seriously na akisemacho??
Btw unatakiwa umtimizie kile anachohitaji usilete utani na......za mtu
jamani hii imenitokea na hakika nimejilaumu sana tusipende utani... kuna dada nilikutana nae kwenye gari (city bus) hapa dar, ktk maongez kumbe tumesoma chuo kimoja, bas tukazid kugandana na mawasiliano full na kwakuwa tunakaa eneo moja basi tukawa tunasubiriana kituoni na nikiri kuwa amenilipia sana nauli...bas mimi nilimuambia wazi kuwa ninategemea kufunga ndoa hivi karibun yeye akasema yuko wimbo (singo) tuliendelea kupeana kampani ukizingatia mchumbaangu yuko mbali...siku moja akanitext "unajua kucare sana yaani unacheza nafasi fulani hivi ingawa siyo" kwa UTANI nikareply "unaonaje nikaicheza kweli hadi mwenyewe atakapokuja?" akajibu sawa!! tangu siku iyo na ndevu zangu nikaanza kuitwa baby!! imeenda kumbe mwenzangu kamaanisha mi kuona hivyo nikamuambia "nisamehe sijawah kufanya hivyo tubaki marafiki tu!" akagoma na kudai hatanisamehe NEVER! na hataki kuniona tena ananichukia!! nimemuomba msamaha kagoma kunisikiliza!! nafanyaje!?

hahahaaa kwa kweli hapo lazima ajutie utani wake maana nauli kushnei hapo loo msamaha muhimu