jaffari odhiambo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 526
- 13
Angalia Athari Ya Utani:
Jamaa Alikua Amekaa BAR
Akitazama BIA yake
Kwa zaidi ya DAKIKA 20.
Akaja Mtani Wake Mmoja
Akaichukua BIA
Akanywa yote!
Jamaa Akaanza Kulia,
Mtani Akamwambia Usilie
Nilikutania tu Nitakulipa
mtani.
Jamaa Akajibu Hilo Sio Tatizo ila
Leo ni Mikosi tu!
** Asubuhi kazi Nimefukuzwa,
** Baada ya Kutoka Nje Gari
yangu Imeibiwa,
** Kufika Kwangu Nakuta Ujumbe
Mke Wangu
Kaondoka Hanitaki,
** Nimekuja BAR na Kutia Sumu
Katika BIA ili
Nijiue!, Wewe Umeinywa!
Mtani: Puu Chini, mara strock
mguu, mkono na
mdomo upande Kwa Woga wa
kufa...
KUMBE JAMAA Hakutia SUMU Naye
Alikuwa
ANAMTANIA tu!
Jamaa Alikua Amekaa BAR
Akitazama BIA yake
Kwa zaidi ya DAKIKA 20.
Akaja Mtani Wake Mmoja
Akaichukua BIA
Akanywa yote!
Jamaa Akaanza Kulia,
Mtani Akamwambia Usilie
Nilikutania tu Nitakulipa
mtani.
Jamaa Akajibu Hilo Sio Tatizo ila
Leo ni Mikosi tu!
** Asubuhi kazi Nimefukuzwa,
** Baada ya Kutoka Nje Gari
yangu Imeibiwa,
** Kufika Kwangu Nakuta Ujumbe
Mke Wangu
Kaondoka Hanitaki,
** Nimekuja BAR na Kutia Sumu
Katika BIA ili
Nijiue!, Wewe Umeinywa!
Mtani: Puu Chini, mara strock
mguu, mkono na
mdomo upande Kwa Woga wa
kufa...
KUMBE JAMAA Hakutia SUMU Naye
Alikuwa
ANAMTANIA tu!