Utani si mbaya ila kuwe na mipaka mtu kafiwa na mzazi wake mtani anamwambie mfiwa ndiye kaua utani gani huo mdogo wangu aliwashikia panga mbona walikimbia wote na kususa baadae wakarudi wenyewe hawakutania tena, jirani kulikuwa na msiba watani wakachukua unga wakachanganya na pilipili wakawapaka wafiwa usoni ati huo nao utani, utani wa hivyo si ukaribishi. Kuna utani wenye staha huo naukubali