Utani kidogo ila kweli kwa wanaume wote

Utani kidogo ila kweli kwa wanaume wote

prospa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
554
Reaction score
157
Hata iweje na hata uwe na mapenzi na mkeo na huruma ya kiasi gani, lakini huwezi kumsaidia kubeba mimba mnabisha!
 
Nilifikiri ni kwa ajili ya wanaume wa dar tu
 
Mimi niliibeba asee!! Full kutapika
 
Kwetu sumbawanga ukimpa ujauzito mdada ukamtema unabebeshwa mimba wewe unatengenezwa hips lazima ujirudi tu na utangaze ndoa
 
Hata uwe na ukarimu kiasi gani,huwezi kumsaidia askari kubeba bunduki yake (silaha)
 
Back
Top Bottom