Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
- Thread starter
-
- #61
Kuna mzee mmoja alimwambia mtoto wake nirudishie shahawa yangu iliyokuumba wewe, mtoto jeuri akawa mpole ghafla*DUNIA .... IMEKWISHA. !!!*
Mtoto baada ya kutajirika alimwambia baba yake, "Enhe!
baba nikulipe nini ili tusijuane tena!
"Baba akamjibu, "Nipe mkeo nimnyonye maziwa kama
wewe ulivyomnyonya mke wangu!
" Mtoto, mmmh, "Basi mzee wangu, nilikuwa nakutania tu,
yaishe.
Baba: *" Nyoooooo....."*
*"Ulikuwa unanibipu .... Basi nimekupigia.*
♂
Iyo inaitwa nenda urudiKUTESA KWA ZAMU.
JANA
BOY: Bby wangu mambo
GIRL:
BOY: Haya nimekumiss sana bby
GIRL:
BOY: Kuna tatizo lolote mpnz?..
GIRL:
BOY: Huwez kutype bby?
GIRL:
BOY:
LEO
GIRL: Bby mambo vp mwenzio nina shida
BOY:
GIRL: Nina shida km ya laki mbili hivi bby
BOY:
GIRL: Jmn bby ndo nini sasa hivo
BOY:
GIRL: Ujue sikuelew bby
BOY:
GIRL: Bby kwn huwez ongea?
BOY:
GIRL:
malipo ni hapa hapa duniani..!!
duuuh basi tena , maana hata nami nimewaza kitu cha hivyo nikawa nangojea jibu la mzungu kumbe daaah, mzungu chenga tupu.*Mzungu alisafiri na Mbongokwenye ndege*
*wakakaa siti moja*
*Mzunguakamdharau�� sana Mbongo*
*nakujiona anajua kila kitu duniani!,*
*Akamwambia Mbongo waulizane maswali*
*na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na*
*endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=*
*Mzunguakauliza ni nchi ipi ilishindwa*
*kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?*
*Mbongoakatoa Jero/ 500 kuashiria hajui.*
*Na yeye akamuuliza Mzungu, ni kitu gani*
*kikienda juu kina miguu minne na kikirudi*
*chini kina miguu mitatu?*��
*Mzungu akafikiriaakakosa jibu akatoa*
*100,000/= kuashiria hajui ila akataka kujua,*
*akauliza ni nini hicho?*
*Mbongo akatoa Jero/ 500 kuashiria hata yeye*
_hajui!._
Hahahaha kweli aiseeeMuda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE....
Wanakuwaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuletea....
Nice*Dem: "BABY TANGU TUFANYE MAPENZI MBONA UNIJALI KAMA ZAMANI??"*
*Jamaa akajibu: UMEWAHI KUONA RAIS ANAFANYA KAMPEN WAKATI AMESHINDA?!!*
*HII KALI*
*Mgojwa: daktari Nina tatizo la kusahausahau kila dakika.*
*Daktari: hilo tatizo lilianza lini?*
*Mngojwa:tatizo lipi?*
**
**
UKITAKA KUJUA AKILI YA MWANAMKE.. Mwambie Dada una nywele nzur wakati kavaa wigi utasikia "Asante".....
Akili zao wanazijua wenyewe!!