CHEKA KIDOGO.
Mlevi alipita mtoni akakuta watu wanabatizwa,mlevi akajua kuna kitu wanakitafuta kwa kuwa mchungaji alikuwa anawazamisha na kuwatoa kwenye maji,mlevi naye akapanga folen ilipofka zamu yake mchungaji akamzamisha alipomtoa akamuuliza, umempokea yesu? akajibu hapana, akamzamisha tena akamuuliza, umempokea yesu? akajibu bado, mara ya tatu akamuuliza umempokea yesu? mlev akasema mchungaji una uhakika alizama maeneo haya au tunahangaishana tu?
Kuna Dem amepost WHERE DID WE FIRST MEET? Sijui nimkumbushe Ile siku Chali yake aliniomba Keja ama nilenge tu hii story,juu mi ni ule msee nilikua nafua hapo nje ....
Mbu ni tatizo sana nchini kwetu. Lakini ukitaka mbu wote waishe mpaka tuanze kuwatafuta, waambie wanaume kwamba *mchuzi wake unaongeza nguvu za kiume.*
MAMBO KUMI YA KUFURAHISHA NA HUWEZI KUYAFANYA:
1. Huwezi kuosha Macho kwa Sabuni;
2. Huwezi kuhesabu Nywele zako;
3. Huwezi kupumua kwa Pua na huku umetoa Ulimi;
4. Unajaribu kufanya namba 3
6. Umeona inawezekana, sanasana unakuwa Kama Jibwa;
7. Unatabasamu kwa kuwa umejiona Mjinga!
8. Umeruka namba 5;
9. Unahakikisha Kama kweli 5 haipo.
10. Unacheka kwa kuwa nimekubamba!
*Watalii wana dharau sana bana, Mtalii alikodi boti akazunguka nayo kwenye mto Rufiji kuangalia mandhari, akamuuliza kijana anayeongoza boti, "Do you know Biology, Psychology and Anthropology?" Kijana akajibu "NO," Mtalii akamwambia "nothing you know under the sun? You are useless, and u'll die with your illiteracy!" baada ya muda boti ikaanza kuzama, kijana akamwambia mtalii "Do you know kuogelealogy and kusepalogy from mambalogy? Mtalii akajibu huku ametoa macho "No" kijana akamwambia "You will kufalogy and mambalogy wil eat your matakology because of your bad-mdomology..*
*Dah, acha tu Trump ashinde...awarudishe black wote huku...mwakani hatupati shida ya kuwatafuta kina Jay Z, Rihanna, Lil Wayne, Wiz Khalifa etc kwa ajili ya fiesta..tutazunguka nao mpk muleba*
*Some girls are very funny.... She will hang one leg on your shoulder for 2 hours of sex but tell her to jump a small kamtaro pale kwa estate ndio utaskia akisema, 'Lakini Beb unajua naeza vunjika backbone ama niangushe fallopian tubes zimwage ovaries?'*