Utanashati wa mwanaume ni nini..?

@baba enoki, hapo bado, kwan hyo vyote ulvoainisha ni internal factas na huwez jua mpaka uambiwe. Lakini unaweza kuta mdada anamuona mkaka kapita tu barabaran then anadeclare yule kaka ni handsome. Huwa wanaconsida nini haswa..? Au wanaonaga mifuko imetuna, kichwa kimechomoza, o ni gan. .?
 
@michele, kwenye umbo na sura inakuwaje..?mwanamke anajudge vp sura ya mwanaume kuwa nzur.?

suala la ku judge,kila mwanamke ana utashi wake...uzuri wa sura au umbo kila mmoja ni tofauti....nafikiri nimekujibu!
 
@baba enoki, hapo bado, kwan hyo vyote ul(iy)voainisha ni internal fact(ors)as na huwez(i) (ku)jua mpaka uambiwe. Lakini unaweza (ku)kuta mdada anamuona mkaka kapita tu barabaran(i) then ana-declare yule kaka ni handsome. Huwa wana-consi(der)a nini haswa..? Au wanaonaga mifuko imetuna, kichwa kimechomoza, o(r) ni gan. .?

Kaka kuna neno linajulikana kama "Instinct" kwa lugha ya Queen!
 
Mmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????/:A S-baby:wapi Asprin,Kakakiiza,Finest,BabaEnock,Teamo, na wakaka wote wa JF
 
Siulikua bize kujipima umwambie DA size yako!:happy:
Size yangu haiko constant inakuwa inabadilika mara 28 mara 30 mara 35
Hhahahaha....kwahiyo ndo unanitisha au inakuaje???Mi nataka wa kumuuzisha sio wa kuniuzisha!
Dah!! Nilisahau mtu mzima atishiwi nyau, ila pale mwisho wa reli yeye anauza na kukuuzisha lol
 
Mmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????/:A S-baby:wapi Asprin,Kakakiiza,Finest,BabaEnock,Teamo, na wakaka wote wa JF
Chauro niko hapa nina tape measure tena zile wanazotumia mafundi ujenzi ndio najaribu kufanya vipimo hapa
 
Size yangu haiko constant inakuwa inabadilika mara 28 mara 30 mara 35

Dah!! Nilisahau mtu mzima atishiwi nyau, ila pale mwisho wa reli yeye anauza na kukuuzisha lol

Uwiiii...no komenti!!!

Heheheheh..tiutawezana sasa kweli hapo?
 
People dare to talk openly . . .

These same pple are said to be "of a great thinking" capability as well!So, unless ofcourse you are telling me to expect otherwise, exactly what is your point!?
 
Ukiwa nazo tu basi inatosha, manake hata sura ikiwa mbaya kama kiatu utasikia..."He's cute!"
Hapendwi mtu...
 
These same pple are said to be "of a great thinking" capability as well!So, unless ofcourse you are telling me to expect otherwise, exactly what is your point!?
Theory of Everything is an elegant idea but until you reconcile quantum physics and cosmology, you have absolutely no hope of a Theory of Everything
 
Back
Top Bottom