Utanashati, umaridadi, usafi, uzuri kipi ni muhimu?

mtu anaweza kuwa mtanashati akawa mchafu!maan utanashati ni tabia ya nje na usafi ni tabia ya ndani
mtu anaweza kuwa maridadi na siwe msafi vile vile,since umaridadi hutazamwa nje
mtu anaweza kuwa mzuri(kwa vigezo vyake au wengine asiwe msafi,maridadi na mtanashati!
sasa ukichanganya yote hayo kumbe kilicho bora ni usafi!maana huu upo ndani kabisa ya mtu!
akiwa msafi atakuwa maridadi,mtanashati na mzuri vile vile since mara nyingi mwaanadamu hutafsiri uzuri kwa kile kinachomvutia machoni so msafi has it already!watu watavutika nae tu!therefore analamba bingo lote!
 
Mkuu PetCash kasema kuwa:

Lakini mie nadhani kama vile ame-limit maana ya neno mtanashati.

Nafikiri neno "mtanashati" lina maana zaidi ya uchaguzi wa mavazi ya mtu. Of course, mara nyingi linatumiwa kuhusiana na mavazi.

Lakini mtanashati anaweza pia kuwa mtu anayepangilia mambo yake vizuri. Wanasema hii ndiyo sifa kuu ya members wa mtanashati: source: MTANASHATI.COM lol.

Kwa uelewa wangu wa juu juu, mtanashati ni mtu anayevutia (so attractive). Kwa hiyo, mtu anaweza kuvutia zaidi ya mavazi yake.

The fact kwamba mtu ni mtanashati haina maana kuwa ni mzuri. Inawezekana tuu kuwa the way anavyopangilia mambo yake inamfanya aonekane kivutio.

Wengine personality yao tuu inawafanya waonekane watanashati mbele ya watu.

Pia matumizi na maana ya maneno yanabadilika kulingana na wakati. Kama umeshaangalia filamu ya Ocean’s Eleven (2001), wakati Saul anawaangalia Danny, Linus na Yen loading money from the vault akasema “That is the sexiest thing I have ever seen!” Money can be sexy too. lol.
sasa mkuu EMT inamaana mtu yeyote mwenye mvuto ni mtanashati?
 
Last edited by a moderator:
mtu anaweza kuwa mtanashati akawa mchafu!maan utanashati ni tabia ya nje na usafi ni tabia ya ndani
mtu anaweza kuwa maridadi na siwe msafi vile vile,since umaridadi hutazamwa nje
mtu anaweza kuwa mzuri(kwa vigezo vyake au wengine asiwe msafi,maridadi na mtanashati!
sasa ukichanganya yote hayo kumbe kilicho bora ni usafi!maana huu upo ndani kabisa ya mtu!
akiwa msafi atakuwa maridadi,mtanashati na mzuri vile vile since mara nyingi mwaanadamu hutafsiri uzuri kwa kile kinachomvutia machoni so msafi has it already!watu watavutika nae tu!therefore analamba bingo lote!

haya tena mapya sasa hebu wewe shostito niffanulie vizuri, wataka kausema usafi humfanya mtu kuwa mtanashati, maridadi na mzuri kwa aya yako hapo juu??
 
mtu mzima hatishiwi nyau dada. of course kama wewe ni msafi then utapenda kuvaa kinadhifu accordingly, sio lazima uende spa au kushinda saluni but utakuwa 'presentable' kwenye average settings. mambo ya kushindia nguo moja wiki hayapo tena.
mdogo wangu ntakuchapa dada habishiwi umeskia??

haya sasa tuendelee, inamaanaa usafi utamfanya mtu awe mtanashati?? na je usafi uko localized kwenye mavazi tu??
 
haya tena mapya sasa hebu wewe shostito niffanulie vizuri, wataka kausema usafi humfanya mtu kuwa mtanashati, maridadi na mzuri kwa aya yako hapo juu??

yaaah!wala si utani!
mtu akiwa msafi atakuwa mzuri tu,si atapendeza na kuvutia machoni (kumbuka uzuri ni kadiri ya macho ya anayeangalia enh)kwa hiyo kilicho kisafi kinaita ati!kilicho kisafi kinatamanisha.kina mvuto,kina mashiko NDO UZURI WENYEWE HUO

mtu akiwa msafi atakuwa tu mtanashati,hatavaa rough,hatavaa nguo chafu,hatapenda anuke atapenda anukie,hata kama ana shati moja atalifua kauka nikuvae tu ili atokee kitanashati maan ndo silka yake ati!so utampa tu CREDDO ZAKE ZA UTANASHATI

mtu akiwa msafi atapenda muda wote awe maridadi sana!hatavaa kachumbari,hatavaa anchoma kumoyo,hatavaa tu mivaruvaru,hatakuwa na nnywele tu alimradi manake kuwa msafi ni pamoja na kutokelezea shostilo basi NDO UMARIDADI wenyewe huo!
 
mdogo wangu ntakuchapa dada habishiwi umeskia??

haya sasa tuendelee, inamaanaa usafi utamfanya mtu awe mtanashati?? na je usafi uko localized kwenye mavazi tu??

japo si swali langu ila ngoja nimsaidie Blaine kujibu though wakati mwingine ananiuziga kweli kweli!si uankumbuka juzi kasema mi nakalia nini?
usafi unaenda kwenye kila kitu!kila kitu!
 
ndio maana nitabaki kuwa mwl daima. unajua kufundisha vzr sana keep it up. haya hebu niofautishie kati ya umaridadi na utanashati.
 
japo si swali langu ila ngoja nimsaidie Blaine kujibu though wakati mwingine ananiuziga kweli kweli!si uankumbuka juzi kasema mi nakalia nini?
usafi unaenda kwenye kila kitu!kila kitu!
ooh! usafi uko kwenye kila kitu. sasa je katika matendo ya mwili usafi unaangalia nini?
 
sasa mkuu EMT inamaana mtu yeyote mwenye mvuto ni mtanashati?

yea, depending on aina ya mvuto wenyewe.

Maana mtu mtanashati anaweza pia kuwa mtu mwenye hali nzuri ya maisha, mtu mtimilifu, n.k.

The way people perceive utanashati varies from one person to another.
 
dada usafi ndo kila kitu na ndo cha muhimu hizo nyingine ni mbwembwe na ni added advantage mtu akiwa nazo zinaongeza mvuto
 
mdogo wangu ntakuchapa dada habishiwi umeskia??

haya sasa tuendelee, inamaanaa usafi utamfanya mtu awe mtanashati?? na je usafi uko localized kwenye mavazi tu??
mhh! wadada mkisifiwa wewe mzuri mnasema 'hatuna adabu', tukiwakaushia mnasema 'hatuwajali'. sijui niwafanyeje.

in this context, yes maana umeuliza usafi,utanashati,umaridadi nk so uko kwenye mavazi na appearance kwa ujumla. usafi wa 'roho/moyo' haujadiliwi kwenye huu uzi unless nimekosea
 
yaaah!wala si utani!
mtu akiwa msafi atakuwa mzuri tu,si atapendeza na kuvutia machoni (kumbuka uzuri ni kadiri ya macho ya anayeangalia enh)kwa hiyo kilicho kisafi kinaita ati!kilicho kisafi kinatamanisha.kina mvuto,kina mashiko NDO UZURI WENYEWE HUO

mtu akiwa msafi atakuwa tu mtanashati,hatavaa rough,hatavaa nguo chafu,hatapenda anuke atapenda anukie,hata kama ana shati moja atalifua kauka nikuvae tu ili atokee kitanashati maan ndo silka yake ati!so utampa tu CREDDO ZAKE ZA UTANASHATI

mtu akiwa msafi atapenda muda wote awe maridadi sana!hatavaa kachumbari,hatavaa anchoma kumoyo,hatavaa tu mivaruvaru,hatakuwa na nnywele tu alimradi manake kuwa msafi ni pamoja na kutokelezea shostilo basi NDO UMARIDADI wenyewe huo!

Tafadhali penye italics naomba kufahamishwa ndio mivao gani hiyo?

au ndio ile Kachumbari si mboga ila wakati washida inasaidia?
Na hii nyingine ni Travota au!!
 
mhh! wadada mkisifiwa wewe mzuri mnasema 'hatuna adabu', tukiwakaushia mnasema 'hatuwajali'. sijui niwafanyeje.

in this context, yes maana umeuliza usafi,utanashati,umaridadi nk so uko kwenye mavazi na appearance kwa ujumla. usafi wa 'roho/moyo' haujadiliwi kwenye huu uzi unless nimekosea
Blaine hebu fikiri jinsi mtu anavyokula, anavyohandle labda mafuta ya kupaka ama dawa ya mswaki wewe huwa unajali haya??( sina maana mbaya nataka tu kumfunza mtu kupitia uzi huu)
 
Last edited by a moderator:
Blaine hebu fikiri jinsi mtu anavyokula, anavyohandle labda mafuta ya kupaka ama dawa ya mswaki wewe huwa unajali haya??( sina maana mbaya nataka tu kumfunza mtu kupitia uzi huu)
you sound like my mom -_-. i dont talk with food mdomoni, napaka lotion daily, i replace the cap on toothpaste, change undies 2x daily etc
 
Usafi kwanza, mengine yooooooooooooooooote ni nyongeza tu.
Akiwa mzee atakuwa msafi, akiwa kijana atakuwa msafi, kijijini mjini atakuwa msafi but hayo mengine yanabadilikabadilika kutokana na mtu na mahali..
 
you sound like my mom -_-. i dont talk with food mdomoni, napaka lotion daily, i replace the cap on toothpaste, change undies 2x daily etc
i like this. mimi huwa napenda mtu msafi, akila hajimwagii ama hachafui mdomo kwa vyakula. hakohoi hovyo mezani, akivua viatu anaweka pasafi na soksi hachanganyi na nguo nyingine chafu. dawa ya mswaki haibinyi bila mpango ama haipaki lotion na kuweka mfuniko pembeni. you know these stuffs ni ndogo but zina impact sana kwenye mahusiano. imagini unakuwa na gf kitana anachochania nywele kinabakizwa na nywele zilizokatika, na hakioshwi.................aaarrrrgggggg!! yaani
 
you sound like my mom -_-. i dont talk with food mdomoni, napaka lotion daily, i replace the cap on toothpaste, change undies 2x daily etc
perhaps am your mom. or aren't you Claine???:confused2::confused2::confused2:
 
Back
Top Bottom