Utanashati ni kipaji na uamuzi

Kwa harakaharaka mtu unaweza kusema haka katoto ni kasmart, lakini mimi na jicho langu la fashion nasema hivi: Hayo mavazi ni fashion ya watu wazima si fashion ya watoto.

Ila kametokedhea kiukweli
 
Kwa harakaharaka mtu unaweza kusema haka katoto ni kasmart, lakini mimi na jicho langu la fashion nasema hivi: Hayo mavazi ni fashion ya watu wazima si fashion ya watoto.

kwanini isiwe fashion ya watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…