Utanashati ni kazi...

baro

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
3,429
Reaction score
5,007
Muuza kahawa akiwa na tai yake kwa ajili ya kwenda mzigoni.
 

Attachments

  • 1411391817495.jpg
    17.3 KB · Views: 732
Wabongo bhana ....ila lingefanywa na mzungu haha tungesikia habari tofauti .
Criss una uhakika na unacho kinena? Hao wazungu wenyewe ni majuha waliopitiliza
 
Last edited by a moderator:
Na si ajabu ukamkuta shell ametegesha kikalio akitaka kijazwe petrol

Hahaha hii ishawahi kufanywa na mmaasai mmoja hivi...

eti alitaka kujazwa kiwese kama gari la bosi wake ili na yeye aweze kukimbia kama gari...
 
Criss una uhakika na unacho kinena? Hao wazungu wenyewe ni majuha waliopitiliza

MAJUHA?
Wwewe waliyekuvalisha miwani ambayo hujui imetengenezwa kwa kutumia nini na inamadhara kiasi gani kwa mtumiaji leo unawaita majuha?

Wewe waliokununulisha cm za bei kubwa huku wakikuwekea mionzi lukuki inayokuhatarishia afya ya mwili plus kiwango chako cha umri wako wakuishi leo unawaita majuha ?

Wewe unaewasiliana na watu kwakutumia mitandao bila kuzigatia usalama wa taarifa zako kwa unaowasiliana nao kisha unathubutu kuwaita majuha ?

Hebu pinga kwanza chao kimoja ambachowewe umedhihirisha kukibeza kuwa ni ujuha mkuu na namna ulivyoisaidia jamii yako kujiepusha kwenye ujuha huo jombaa......
 

Twende taratibu usipaniki wazungu ni majuha na watabaki hivyo milele hakuna haja ya kubishana wala kutoa povu jaribu kutafuta tafsiri ya ujuha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…