Utamu wenye maumivu

Watapata nini na kwa maelezo yako hakuna ukimwi
 
Hiyo ni moja ya mbinu ya mtu kutekeleza mauaji. Ila siyo mbinu pekee ya mtu kutekeleza mauaji.
 
Michango ya WADAU ndio iliyonileta hapa
 
Hiyo ni moja ya mbinu ya mtu kutekeleza mauaji. Ila siyo mbinu pekee ya mtu kutekeleza mauaji.
Kwa hiyo uko tayari kuchukua hiyo risk? Mimi nakwambia huko kujifanya una huruma hujawahi kuishi na mabinti wa kazi. Kuna tatizo gani nikigundua anaumwa nikamrejesha kwao kuepuka madhara kwangu? Kwani hivyo nikumyanyapaa?
 
Hakuna tatizo. Maana kutoa msaada huwa ni uamzi wa mtu. Unaweza toa msaada ukakumaliza ama ukavuna mema. Kuwa makini ni jambo zuri maana huruma ikizidi huleta madhara pia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…