mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
- Thread starter
-
- #21
Aiseeeee PEP zina muhusuUpdate:
Mungu wangu mida hiii nimehoji mabarobaro ninaokaa nao 2 watoto wa dada angu nimewauliza kua kuna aliowahi kutembea na binti huyu 1 wao amekiri kutembea nae hapa nilipo tumbo linaniuma yaaani nilipanga nimpe 1M nikimrudisha kwao ila nimehairi simpi hata 100.
Kwani umesha waambia full story.Update:
Mungu wangu mida hiii nimehoji mabarobaro ninaokaa nao 2 watoto wa dada angu nimewauliza kua kuna aliowahi kutembea na binti huyu 1 wao amekiri kutembea nae hapa nilipo tumbo linaniuma yaaani nilipanga nimpe 1M nikimrudisha kwao ila nimehairi simpi hata 100.
We mpe tu huenda huyo mtoto wa dada yako ndo aliemwambukiza binti wa watu.Update:
Mungu wangu mida hiii nimehoji mabarobaro ninaokaa nao 2 watoto wa dada angu nimewauliza kua kuna aliowahi kutembea na binti huyu 1 wao amekiri kutembea nae hapa nilipo tumbo linaniuma yaaani nilipanga nimpe 1M nikimrudisha kwao ila nimehairi simpi hata 100.
We mpe tu huenda huyo mtoto wa dada yako ndo aliemwambukiza binti wa watu.
Update:
Mungu wangu mida hiii nimehoji mabarobaro ninaokaa nao 2 watoto wa dada angu nimewauliza kua kuna aliowahi kutembea na binti huyu 1 wao amekiri kutembea nae hapa nilipo tumbo linaniuma yaaani nilipanga nimpe 1M nikimrudisha kwao ila nimehairi simpi hata 100.
Ulielewa kweli ujumbe mzima?Katika kipindi hiki muangalie sana mumeo. Guenda akawa ndo muathirika namba 2
Tanzania Vilaza hawataisha!Katika kipindi hiki muangalie sana mumeo. Guenda akawa ndo muathirika namba 2
Binafsi naumia nikiiona mtu ana mnyanyapaa mtu kisa hiv maana ni ugonjwa kama magonjwa mengine mengine na huenda HIV ndio ugonjwa wenye nafasi kubwa kwa wanadamu kwasababu ya mazingira na kinachosababishaNingelikuwa ni mimi nisingemwachisha kazi. Kwa kuwa mtu kuja kufanya kazi za dani(house maid) asilimia kubwa huwa ni watu wa uchumi wa chini. Hivyo ningemchukulia kama sehemu ya familia yangu na ningeendelea kumjari. Sasa huko vijijini ndo kabisaa hawana hata elimu ya vvu na ukimwi. Ni wengi wa habari pia ni wepesi wa kunyooshea mtu kidole. Mtu mmoja akijua kijiji kizima kimejua. Full kunyanyapaliwa. Ila mi najiuliza hivi watu wengine mnaishi dunia ipi au mimi ndo niko dunia nyingine. Maana mnaona ni maajabu sana kusikia kuwa mtu ana HIV+? Vitu vingine ni kuangalia fulaha ya kila mtu na uiwezeshe.
Tanzania Vilaza hawataisha!
Sasa hata ukimnyima inakusaidia nini. Watu huwa hamuangalii mtu kafanya jambo flani kwa sababu gani. Sasa nakupa kitu kimojs hiki uelewe. Mara nyingi house girls hutembea na wanafamilia wa mwenye nyumba kwa lengo la kulinda kazi yao. Huyo bint hakutembea na hao vijana kwa lengo la kuleta maradhi kwenye himaya yako. Kumfukuza bila kumpa hata mia wewe utakuwa mnyanyapaaji wa mjini na msomi. Yaani nyinyi mlio mjini na mnajua kusoma na kuandika bado mnanyanyapaa watu wenye HIV+ je sisi tuliokijijini na hatujui hata vijarida vinavyolushwa kwenye tv tuwafanyeje. Lakini pia bora kwa kuwa unasimu mfungulie nadharia za dispecion hapa jf huenda ikamweka nomal kisaikologia na manufaa huko aendakoUpdate:
Mungu wangu mida hiii nimehoji mabarobaro ninaokaa nao 2 watoto wa dada angu nimewauliza kua kuna aliowahi kutembea na binti huyu 1 wao amekiri kutembea nae hapa nilipo tumbo linaniuma yaaani nilipanga nimpe 1M nikimrudisha kwao ila nimehairi simpi hata 100.
Mkuu easy saying difficult experiencing! Hivi unafikiri kazi rahisi kuishi na mtu mwenye HIV? Watu wanawakimbia hadi ndugu zao wa damu.Ningelikuwa ni mimi nisingemwachisha kazi. Kwa kuwa mtu kuja kufanya kazi za dani(house maid) asilimia kubwa huwa ni watu wa uchumi wa chini. Hivyo ningemchukulia kama sehemu ya familia yangu na ningeendelea kumjari. Sasa huko vijijini ndo kabisaa hawana hata elimu ya vvu na ukimwi. Ni wengi wa habari pia ni wepesi wa kunyooshea mtu kidole. Mtu mmoja akijua kijiji kizima kimejua. Full kunyanyapaliwa. Ila mi najiuliza hivi watu wengine mnaishi dunia ipi au mimi ndo niko dunia nyingine. Maana mnaona ni maajabu sana kusikia kuwa mtu ana HIV+? Vitu vingine ni kuangalia fulaha ya kila mtu na uiwezeshe.
Sijui kama kweli. Ila kwa upande mi nilio tunaishi nao mpaka kwenye mahusianoMkuu easy saying difficult experiencing! Hivi unafikiri kazi rahisi kuishi na mtu mwenye HIV? Watu wanawakimbia hadi ndugu zao wa damu.
Yaan unavoeleza najikuta kuwaza km vile ulitaka kupitiaNajitahidi ila hizi dawa akizila utamuonea imani zinamwisha nguvu analala tuuu baada ya kuwa yeye mfanyakazi sasa mimi ndio nimekua mfanyakazi namuhudumia yeye
Wewe bado mtoto mdogo, hujui usemalo. Hivi unajua kuwa ikitokea mkamuudhi huyo binti inakuwa rahisi kwake kumalizia hasira kwa watoto? Tena kwa kuwaambukiza kwa makusudi ili kukomoa kwa kutumia mfano miswaki au kama ni kitoto cha kiume kukilazimisha kufanya mapenzi? Hujawi kusikia visa kama hivyo???Ningelikuwa ni mimi nisingemwachisha kazi. Kwa kuwa mtu kuja kufanya kazi za dani(house maid) asilimia kubwa huwa ni watu wa uchumi wa chini. Hivyo ningemchukulia kama sehemu ya familia yangu na ningeendelea kumjari. Sasa huko vijijini ndo kabisaa hawana hata elimu ya vvu na ukimwi. Ni wengi wa habari pia ni wepesi wa kunyooshea mtu kidole. Mtu mmoja akijua kijiji kizima kimejua. Full kunyanyapaliwa. Ila mi najiuliza hivi watu wengine mnaishi dunia ipi au mimi ndo niko dunia nyingine. Maana mnaona ni maajabu sana kusikia kuwa mtu ana HIV+? Vitu vingine ni kuangalia fulaha ya kila mtu na uiwezeshe.
Kazini na Mbuzi wewe mwenye akili!"AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI"