Utamu wa Mume

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Hili nalo nenoo........

 

Attachments

  • 1374152_707375049291474_887041214_n.jpg
    31.2 KB · Views: 2,290
Hahahahahahahah! Na raha ya peponi...........!
 
He he he, huyo mme kama anashindia chipsi dume watamuua.
 
Sasa kwa nini mwanamme akiwa na wa pembeni anapigwa na mkewe wakati hali halisi inaruhusu hivyo? Si mnaona wenyewe jamani tunavyo shauriwa? Kwa hali ya kawaida, mimi mke wangu anivalie hivi nyumbani sitamuuliza ila nitafikiria anamaanisha nini au anataka nifanye nini juu ya hili. Ikumbukwe: Hakuna mwanadamu mwenye akili timamu anayefanya kitu/vitu bila kuwa na sababu.
 
Kwani nimekataa? Ila hiyo kauli aliyoisema kuwa ni dini ya kigaidi sikuipenda

Si suala la nani anaipenda hiyo kauli na nani haipendi..... Ni suala la matamshi ya hao magaidi. Majina ya makundi yao yanajinadi kiislamu, wanachama wa makundi hayo wamo hadi mashehe... Na wakifanya matukio ni full kujihusisha na uislamu.. Katika mazingira hayo, ni rahisi sana kuhusisha ugaidi na uislamu..
 
Hiyo khanga inapatkana maeneo gani jamani nikainunue nimvalie mke mwenzangu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…