Ab-Titchaz JF-Expert Member Jan 30, 2008 14,631 4,225 Sep 9, 2010 #1 First Lady Michelle Obama (R) waits for her daughter Sasha Obama who had to fix her shoe on August 29, 2010 upon their return to the White House in Washington, DC.
First Lady Michelle Obama (R) waits for her daughter Sasha Obama who had to fix her shoe on August 29, 2010 upon their return to the White House in Washington, DC.
Sinkala JF-Expert Member Dec 22, 2008 1,773 684 Sep 9, 2010 #2 Daah, niliposikia utamu nikakimbilia kufungua!
Mazingira JF-Expert Member May 31, 2009 1,833 298 Sep 9, 2010 #3 Halafu inaonekana Obama na mkewe wamegawana watoto. Mama yuko karibu zaidi na huyu mkubwa Obama inaonekana kipenzi chake ni yule mdogo.
Halafu inaonekana Obama na mkewe wamegawana watoto. Mama yuko karibu zaidi na huyu mkubwa Obama inaonekana kipenzi chake ni yule mdogo.
cheusimangala JF-Expert Member Feb 27, 2010 2,585 497 Sep 9, 2010 #4 huyu mtoto naye anaonekana atakuwa mrefu kama mama yake.
Ab-Titchaz JF-Expert Member Jan 30, 2008 14,631 4,225 Sep 9, 2010 Thread starter #5 Sinkala said: Daah, niliposikia utamu nikakimbilia kufungua! Click to expand... samahani ndio hivyo tena mawazo ya mtu...:becky::becky::becky:
Sinkala said: Daah, niliposikia utamu nikakimbilia kufungua! Click to expand... samahani ndio hivyo tena mawazo ya mtu...:becky::becky::becky:
Ringo Edmund JF-Expert Member May 10, 2010 4,879 1,125 Sep 9, 2010 #6 ni kawaida baba kuwa na mdogo haswa kama mkubwa ni wa kike:
Mazingira JF-Expert Member May 31, 2009 1,833 298 Sep 9, 2010 #7 RINGO EDMUND said: ni kawaida baba kuwa na mdogo haswa kama mkubwa ni wa kike: Click to expand... Nimekusoma mkuu
RINGO EDMUND said: ni kawaida baba kuwa na mdogo haswa kama mkubwa ni wa kike: Click to expand... Nimekusoma mkuu
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Sep 9, 2010 #8 Huyo mtoto amevaa kikuku ina maana na yeye 'anapiga miguu yote kama Ronaldo'!!
Nduka JF-Expert Member Dec 3, 2008 8,552 2,360 Sep 9, 2010 #9 Ndibalema said: Huyo mtoto amevaa kikuku ina maana na yeye 'anapiga miguu yote kama Ronaldo'!! Click to expand... Naona mwezi umeonekana maana zile komenti za kimarhuni zimefunguliwa
Ndibalema said: Huyo mtoto amevaa kikuku ina maana na yeye 'anapiga miguu yote kama Ronaldo'!! Click to expand... Naona mwezi umeonekana maana zile komenti za kimarhuni zimefunguliwa
Mpita Njia JF-Expert Member Mar 3, 2008 6,997 1,163 Sep 9, 2010 #10 cheusimangala said: huyu mtoto naye anaonekana atakuwa mrefu kama mama yake. Click to expand... Si atakuwa, tayari ni mrefu na anakarbia kumpita mama yake
cheusimangala said: huyu mtoto naye anaonekana atakuwa mrefu kama mama yake. Click to expand... Si atakuwa, tayari ni mrefu na anakarbia kumpita mama yake
Kwetunikwetu JF-Expert Member Dec 23, 2007 1,535 409 Sep 10, 2010 #11 Haaa.....nilijua ni yale mambo yetu!
KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,711 12,068 Sep 10, 2010 #12 RINGO EDMUND said: ni kawaida baba kuwa na mdogo haswa kama mkubwa ni wa kike: Click to expand... kwanini?
RINGO EDMUND said: ni kawaida baba kuwa na mdogo haswa kama mkubwa ni wa kike: Click to expand... kwanini?
Kwetunikwetu JF-Expert Member Dec 23, 2007 1,535 409 Sep 10, 2010 #13 KakaJambazi said: kwanini? Click to expand... ....at least asije kujisahau akadhani ni mama mtu......!
KakaJambazi said: kwanini? Click to expand... ....at least asije kujisahau akadhani ni mama mtu......!