Hahahaaaaaaaaaa .......Mkuu Eiyer kule MMU unakondoo wengi sana waohitaji mchungaji naomba utumie nafasi yako kama baba paroko kuwezesha huyu kijana kupata kondoo mmoja embu nakuomba uwa-mention hapa labda jamaa yetu ataonewa huruma.
Kwani hujui kila mwanamke ni mrembo?'mrembo' ni jina la kila mwanamke? Mi mzima sana
Hahahaha! lol kumbe embu turejee kwenye neno kidogo "mpende jirani yako kuliko unavyojipenda" ukimfanikishia huyu kijana kupata mwenza hapa naamini njia itafunguka kwako pia baraka zitamiminikaaaaa!Hahahaaaaaaaaaa .......
Mkuu kwanza ngoja nipate kwanza halafu nitamsaidia huyu ndugu maana hata mimi niko kwenye kusaka mkuu .....!!
Kwani hujui kila mwanamke ni mrembo?
Habari za huko kwenu?
Njema,mzima wewe?
Habari ya siku?
Halafu nimekumis sana aisee!!
Ngoja tuwe wavumilivu tuone kama ndoano yake itakamata aiseeNjema kabisa mkuu.. Huyu ni jirani yako kabisa, hebu mfanye mpango tule ubwabwa bana. Ujue nimemiss ubwabwa wa foleni hapa RC eeeh
Kumbe ulikuwa hujui,jua sasa leoAaah kumbe...huku kwetu kwema. I hope hata kwenu ni kwema
Kumbe ulikuwa hujui,jua sasa leo
Huku kwetu kwema kabisa ....!!
Nikipata nitakualika harusini dada yangu!