Utamu wa Dodo Kunyonya..

1. Jamani kwa dodo,samaki ukamsusa 2. Ukalila kwa fujo,Maganda hukutupa 3.Sasa mwayego, Msimu Umekwisha 4. Utalipata wapi dodo,Embe tunda la msimu. (najaribu kuwakumbusha wanamalenga)
 
dodo tunda msimu,ukiisha lapotea
utajitia wazimu,ukikosa tajutia
utaganda kama sanamu,hujui pa kutokea
dodo tunda la msmu,mzee achana nalo
 
Back
Top Bottom