Utamu unapatikana

Ondoa shaka, tutapima kabla ya kukutanisha tupu zetu. Ili tujiachie vizur nyama kwa nyama upate raha ya uzeeni mpaka ushangae

Duuh wee dawa yako ni kukuripoti kwa babu....
 
Hisia zangu zinanituma we ni mzuri sana na mtamu sana. Njoo tupime tulane tutafunane tutimize kusudio la muumba wetu kuleta jinsia mbili
Duuh wee dawa yako ni kukuripoti kwa babu....
 
Hisia zangu zinanituma we ni mzuri sana na mtamu sana. Njoo tupime tulane tutafunane tutimize kusudio la muumba wetu kuleta jinsia mbili

Hisia zako zinakupotosha na kukupoteza, ila ndani ya masaa 24 ukikutwa na watu wasiojulikana usije sema ni sababu ya Kasie.
 
Ng'ombe hazeeki maini. MZIGO MZITO............................
 
Wanaume wanaouana kisa utamu hawajitambui, wachache waliojitambua wapo 'chaputa'. btw, tendo ni kwaajili ya uzazi hayo mautamu ni ziada tu.
Sasa kuna utamu ambao Mungu ameweka kwa wanawake yaani kwetu sisi wamama.... Jamani utamu huu Mungu ameweka wanaume wako radhi wauane wenyewe kwa wenyewe kisa utamu....
 
Unawaangusha wamasai wenzio, hawaombagi hivoo.

Daby njoo umfundishe huyu namna ya kuomba utamu anawaaibisha.
Kama sikosei huwa wanaomba(ga) hivi " mama yeyooo nipe ile kitu inamesa mwensie"
 
Ng'ombe hazeeki maini. MZIGO MZITO............................

Hahahahahahaaa mizigo mizito mtwike mnyamwezi ila akiwa kigagula utamuua buree hawezi kuhimili tena vishindo hehehehehee

Wachokozi nyie....
 
Wanaume wanaouana kisa utamu hawajitambui, wachache waliojitambua wapo 'chaputa'. btw, tendo ni kwaajili ya uzazi hayo mautamu ni ziada tu.

Majibu mazuri watakupa wanaume wenzio maana hao ndo wanaujua utamu wanaoupata ni wa kiasi gani.
 
Kama sikosei huwa wanaomba(ga) hivi " mama yeyooo nipe ile kitu inamesa mwensie"

Asheenaleek aahahahahhahaaa nina rafiki yangu mmoja namuitaga baba yeyoo, akisoma hapa atanitafuta tuu.....

".......Sasa wewee mama yeyoo, ni mimi nafanya wewee au wewe nafanya mimi...!!??...."

Aahahahahhahahahahaaa kisa cha kumtoa nyoka pangoni ndo mambo kama haya haya..... utamu, ulimbo na ulimbombo, sijui sauti ya kumchukia pweza.... Yote hiyo ni utamuuuuuun.
 
Maneno ya mchungaji mmoja sijui mkenya huyo... Nilicheka sana.
 
Kali ya kufungia weekend!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Maneno ya mchungaji mmoja sijui mkenya huyo... Nilicheka sana.

Hahahahahahaaa uliiona hiyo clip eeehhh aahahahahhaaa hadi uhuru kashindwa jizuia kucheka hehehehehehee achana na utamu banaa.
 
Ahaaaa Mamaaa Kasie wacha kujishusha hadhi namna hiyo.....utamu hauishi kihivyo. Embu tutafutane basi tuone kama kweli hauna utamu. Wanawake wa lika la kina Wema Sepetu wamechakazwa mno na wanaume wa kulipiza visasi (Wanaume wa Dar) kwa tamaa zao za kijinga hivyo hawana hata thamani tena kwa wanaume wanaojitambua. Tunataka wanawake waliotulia dizaini yako tuupime huo utamu. Usitudanganye kuwa hauna utamu, mimi sikuamini mpaka nipime mwenyewe.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…