Utamu unapatikana

Naomba hiyo chungwa lako nijipakulie taratibu,huku unatoa sauti ya chini mpaka ufurahi na huo utamu wako jamani

Soma uzi wote niliondika hapo juu utapata jibu.
 
Ata dingi nilimwambia
Tumekuwa masikini kwa ubinafsi wake wa kupenda utamu....
 
Utamu... Utamu... Utamu... Bado nawaza ni utamu gani huu?
 
Ukiendekeza utamu kweli unafilisika huku unajiona.
That's really madam
Mzee alikua na wake watano tulio kuwa tunawafahamu.

Siku ya msiba tukaletewa madogo kama 6 kutoka kwa mother ambao hawakuwa lasimi.

Nguvu ya utamu isikie tu.....
 
Nimesoma uzi wako nikajikuta nasisimkwa na mshedede, hii imedhihirisha ni kwa kiwango gani utamu ni kiboko yetu.
 
Siwafahamu hao unaowaongelea na hawakuingia kwenye hii mada niliyo itajaa.

Miaka yetu tunaenda sokoni tukiwa tumefunga khanga kiunoni utamu ulikuwa utamu. Siku hizi sijui maana mie nimezeeka.
Aaaa wapi!! Ng'ombe hazeeki maini kasie
 
That's really madam
Mzee alikua na wake watano tulio kuwa tunawafahamu.

Siku ya msiba tukaletewa madogo kama 6 kutoka kwa mother ambao hawakuwa lasimi.

Nguvu ya utamu isikie tu.....

Duuh hatariii utamu una nguvu za uvutano za asili zaidi ya nguvu za sumaku.
 
Nimesoma uzi wako nikajikuta nasisimkwa na mshedede, hii imedhihirisha ni kwa kiwango gani utamu ni kiboko yetu.
 
Duuh hatariii utamu una nguvu za uvutano za asili zaidi ya nguvu za sumaku.
Kabla sijabarehee nilikuaga nawashangaa mabro wanarudia makosa aliyofanya Mzee, come to realize the power of utamu is an incomparable

Sad to say.....
 
Mi nilijua utamu ule anaoutaja Mambaa Oil chafu Konkii Konkii Konkii Master.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…