Utamu Ukikolea...............

Safi sana. Huko ndiko kukopy na kupesti. Aliona mahali huko majuu watu wakitiririka kwa magari ya kwenye nyaya naye akalibuni hilo. B/up sana. Angepanda juu zaidi aunganishe kwenye hizo waya ili achupe moja kwa moja mpaka akhera akamsalimu babu mzaa babuye
 
Yupo vizuri naona amesahau kama kuna kifo,uhaba wa sukari n.k
 
hapo kuna kitu anasikilizia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…