Utamu na raha ya mashindano pale waamuzi wanakuwa huru kutoa haki kwa mshindi

Adam Manyama

Member
Feb 2, 2015
44
54
Fikiria kuna ligi ina timu 14 pia bodi ya ligi imeteua waamuzi toka timu 1. Kamati ya rufaa pia wajumbe wake wanatokana na timu 1. Lakini pia rais wa shirikisho na viongozi wa chama cha mpira cha nchi hiyo wote wanatokana na timu 1.

Sasa kunapokuwa musimu wa ligi unakaribia kuanza bodi ya ligi ikatangaza tarehe ya kuchukua fomu na imeandaa mazingira ya wachezaji wa timu zingine kuenguliwa kutokana 'na kanuni za mashindano. Huko wachezaji wa timu ni 1.

Wakiwekewa utaratibu wa kujaziwa fomu zao unategemea nn. Kwamba ligi hiyo itakuwa na musisimuko ?. '. Tena watu watokeze kwa wingi kuangalia mashindano hayo, na kama watazamaji nao wakisusia kwenda kuangalia mechi nje nani alaumiwe.

Na nini kitakacho tokea kama siyo kwenda kuwasomba wanafunzi na waalimu ili kuujaza uwanja ?. Nadhani ndiko tunako elekea NGOJA TUSUBIRI.
 
Back
Top Bottom