Utamtambuaje mwenye mapenzi ya kweli?????

Utamtambuaje mwenye mapenzi ya kweli?????

Utaishia kuhangaika kwa muda mrefu kutafuta ni nani ambaye ataufikisha mwili wako mahali pazuri ambapo hautahangaika tena. Jaribu kubadilika mkuu Bra-joe.

ndugu, wala sitafuti wa kufikisha mwili pahali pazuri, kwa mwanamke mimi nafuata uterezi tu, utamu ninao mwenyewe, kwa kifupi sijui kupenda.
 
ndugu, wala sitafuti wa kufikisha mwili pahali pazuri, kwa mwanamke mimi nafuata uterezi tu, utamu ninao mwenyewe, kwa kifupi sijui kupenda.

Bra-joe, Ngoja ukutane na wale wajanja wakubananishe kwaajili yakuwachezea na kuwaach ndo utautambua uongozi.
Wasipokugonga 0712 sijui!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom