Aisee mwanamke anapokaa vibaya lazima anakutega,hawezi kujiachia hivo,sijawahi kuona mwanamke kaka vibaya,akikaa vibaya lazima kuna lakeje mama mkwe anapo kaa mbele yako afu akakaa vibaya utamwambia?chukulia mazingira kuna jambo la muhimu anakwambia au mnaongea utafanyaje...?
mkuu sasa ntu umri wa bibi ako anakutegea nini wewe kuna mujarabu anakaavibaya,Aisee mwanamke anapokaa vibaya lazima anakutega,hawezi kujiachia hivo,sijawahi kuona mwanamke kaka vibaya,akikaa vibaya lazima kuna lake
Sasa blauzi hapo si unakuta labda alikuwa na nia yake ya kutega,si unajua wanawake wengine wanafanya makusudi
Nipo tu,
Nilikuwa nakuona kwenye bandiko lako la ndoa;
vipi maendeleo ya ndoa yako mpya?
Hawajambo huko kwetu kukaja.
Kukaja is very "fijo"Nipo tu,
Nilikuwa nakuona kwenye bandiko lako la ndoa;
vipi maendeleo ya ndoa yako mpya?
Hawajambo huko kwetu kukaja.
Avatar yako inafanana na ya @24hrs na excellent kwani nyie mna undugu na jamaa yangu yuko Russia?
Kuna demu alisahau kufunga zipu ya suluari nilivyomuona nikamwambia dada funga zipu yako.
Heee alinipa mipasho nikaona niachane naye
Kuna watu wengine hawakubali kulekebishwa makosa yao.