kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Kuna maex na maex mimi huyu wangu hapana kwakweliHivi nyie viumbe kufa mnachukulia poa et....
Ujawahi jiuliza why mtu akiwa katika ile stage mpaka haja kubwa ina mtoka..
Huyo ex atarudiwa tuu kwani shi ngapi bana
Kwahyo Bora kufa au..?Kuna maex na maex mimi huyu wangu hapana kwakweli
Na jua lilivo kali hivi bado unataka ubaki uteseke mkuu ππππKufa ni ishu ingine kabisa Bora umrudie
Bora uvumilie JUA kali mkuu ππkuliko kutaka ku rest in peace kabla ya mudaNa jua lilivo kali hivi bado unataka ubaki uteseke mkuu ππππ
Kuna watu kufa now anachukulia poa sana aiseeeBora uvumilie JUA kali mkuu ππkuliko kutaka ku rest in peace kabla ya muda
Yule wangu ana sifa mbaya mno hakuna mwanamke anaweza kutamani kuwa na mwanaume kama yule aiseeKwahyo Bora kufa au..?
Acha masikhara wewe khaaa kuna watu mna utani nyie kwani mnavoachna huwa vurumai kubwa
Mimi naona ukifa unapumzika maana hii Dunia ina heka heka sanaKuna watu kufa now anachukulia poa sana aiseee
Dah!! hao ni wale waliokata tamaa ya maisha kabisa, hawaoni future mbele yao kabisaKuna watu kufa now anachukulia poa sana aiseee
Ma ex wamelia sana unaambiwa, hahaHata sikumbuki km nna ex πΉ
Kibuyu naye huyo anayelilia vitu vilivyo expire..!! πΉMa ex wamelia sana unaambiwa, haha
Wamekosa kazi za kufanya..!!wenzako wanapiga hadi magoti babe nisamehe plzz
π
Story yako ni interesting, hapo kulana ni anytime ma-Ex ndio wanakuwa michepuko yako pro maxNahisi wengine sijui tuna matatizo!! Ex's wangu wengi tumebaki washikaji. Imagine ex mnakopeshana pesa,mnachangiana michango mbalimbali,mkikutana sehemu mnapiga stori fresh kama hakijatokea kitu. Mnatambulishana hadi mke/mme.
Inategemeana na aina ya mahusiano mliyokuwa nao. Most of my ex's tunakuwa na mahusiano fulani ya kushibana kiaisi kwamba hata ikitokea hali ya ku_break up,basi tunajadiliana kirafiki na kwa uwazi zaidi.
Achana na hawa kunguru wa kamata Chinja ukiwa viwanja,wenyewe mnakuwa washikaji kiasi kwamba hata kesho ukimkuta na bwana mwingine,unazuga tu kama hakijatokea kitu.
ππ hakika ila cha msingi ni kuweka tu mipaka. Ila kuna watatu (3) hivi nahisi wana chuki bado maana walifanya vurugu zote ili niwaoe coz niliwatoa bikraStory yako ni interesting, hapo kulana ni anytime ma-Ex ndio wanakuwa michepuko yako pro max
Ana sifa gani tena πππYule wangu ana sifa mbaya mno hakuna mwanamke anaweza kutamani kuwa na mwanaume kama yule aisee
Siyo vizuri kusemaAna sifa gani tena πππ
Sema sema tujue wote alikuaje huyo jamaaSiyo vizuri kusema