Kabisa, japo binafsi siamini kama anapaswa kubeba lawama peke yake kwenye masuala ya demokrasia.Ukiachia mbali hayo ongezea pia atakumbukwa kwa damu zilizomwagika wakati wa uchaguzi ambapo watu wengi waliuawa na wengine hadi leo familia zao hazijapata miili ya ndugu zao
Pia, kutekwa na kupotezwa kwa watu wote waliojaribu kumkosoa au kupinga utawala wake
Tuhuma za ufisadi na matumizi ya fedha za umma huku kukiwa na madai na ushahidi unaotajwa kuhusu mwanawe kipenzi yule Waziri wa Ulinzi mwanamke na mkuu wa majeshi
Ushahidi uliwekwa hadharani
Pia, mikopo mikubwa aliyoingia pamoja huku kukiwa hakuna miradi ya maendeleo inayoonekana kutokana na pesa za mikopo hiyo na mengine mengi 🤝
Hapa tunamzungumzia yeye kama mtu mwenye kauli ya mwisho kwenye nchi hii I mean Final SayKabisa, japo binafsi siamini kama anapaswa kubeba lawama peke yake kwenye masuala ya demokrasia.
Ni hicho chama kizima chenye falsafa za Mao kutoka kwa Nyerere.
WanaCCM wakubwa wanaamini chama kinakuja kabla ya nchi.
Samia kwenye swala la TEHAMA kwenye elimu, Afya, mpaka data center,etc yuko vizuri ✅Kafungua milango ya elimu, Diploma wanapata boom siku hizi,
Samia scholarship inawafunulia milango masikini wenye vipaji,
Chini ya mradi wa HEET vyuo vimepata miundombinu mbali mbali na kuongeza huduma na ufanisi,
Mitaala mipya imeletwa(japo changamoto hazikosekani) ila nimefurahi naona hata vitoto vya darasa la 3 vinasoma TEHAMA.
Fimbo zimepigwa chini...
Mazuri ni mazuri, na yanastahili pongezi.
Siamini kama ana kauli ya mwisho(Naweza nikawa nakosea).Hapa tunamzungumzia yeye kama mtu mwenye kauli ya mwisho kwenye nchi hii I mean Final Say
Kama Amiri Jeshi Mkuu anabeba dhamana na uwajibikaji wa mwisho kwa maamuzi na matendo ya utawala wake usijaribu kulemba mwandiko kijana
Hivyo lawama za kisiasa kuhusu yaliyotokea haziwezi kumkwepa
Hili halina haja ya kupepesa macho
Sasa kama hana kauli ya mwishoSiamini kama ana kauli ya mwisho(Naweza nikawa nakosea).
Nazidi kugundua kwamba, kwenye tawala za kidemokrasia, mara nyingi rais sio msemaji wa mwisho.
View attachment 3708425
Simsafishi...Sasa kama hana kauli ya mwisho
Mbona alisimama akasema mimi ndio rais na amiri jeshi mkuu
Unavyotaka kumsafisha ni ngumu sana hasafishiki yote yalioyotendeka na yanayoendelea kutendeka ni chini ya utawala wake over
Hii mbona kama DNA ya LucasKafungua milango ya elimu, Diploma wanapata boom siku hizi,
Samia scholarship inawafunulia milango masikini wenye vipaji,
Chini ya mradi wa HEET vyuo vimepata miundombinu mbali mbali na kuongeza huduma na ufanisi,
Mitaala mipya imeletwa(japo changamoto hazikosekani) ila nimefurahi naona hata vitoto vya darasa la 3 vinasoma TEHAMA.
Fimbo zimepigwa chini...
Mazuri ni mazuri, na yanastahili pongezi.
kuhutubia kwa kusoma hotuba mwanzo mwishowewe utamkumbuka kwa kipi?