Utamjuaje mwanamke mruka ukuta?

Dah,,, wabongo kwa kujadili ujinga,,,,,, ila ukiweka uzi wa maana huoni hata wa kupita,,,,,
This is very serious Mkuuu... Ukitoka madawa ya kulevya kwa vijana.. Kitu kingine cha kinyume na maadili kinachosumbua vijana ni hiki...
 
Kabisa mkuu
 
Chukua basi lako liweke getini kwake, kama halijatolewa tangazo ''usizibe geti'', au wakati mwengine anaweza kukufungulia geti kidogo. Ingiza basi lako ndani, shusha mizigo ndani, ukimaliza unarudi rivasi mdogo mdogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…