Ukitoa Vipimo vya DNA ni kwa jinsi gani unaweza kutambua kwamba mtoto huyu siyo wako umesingiziwa au kwa kiswahili wanasema umepigwa ?
Couze kuna chalii sina imani nae wakuu.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Mcharaze viboko, atakapokimbilia ndo huko huko atokapo.
Ndo kazi yake[emoji3]mfano mtoto kazaliwa kwenye hiyo familia akipelekwa kwa uyo bibi,bibi anamfukunyua uchi weee akimaliza anatoa jibu[emoji3]Ila hajawahi kusema huyu sio wetu
Mkuu kuna njia flani iliwahi letwa humu ya kumzungushia dushe utosini akiwa kalala, ila walitahadharisha kuwa kama si wako hatoamka ila kama ni wako basi ataamka(kwa kifupi sikushauri hili mana waweza ondoa kiumbe asiye na hatia na wew ukaishi maisha ya majuto maisha yako yote)
Khaa jamani...Mcharaze bakora, ukickia mama yke anakwambia ucnipigie hvyo mwanangu; jua umeingia cha kike.
Duh! HatariMkuu kuna njia flani iliwahi letwa humu ya kumzungushia dushe utosini akiwa kalala, ila walitahadharisha kuwa kama si wako hatoamka ila kama ni wako basi ataamka(kwa kifupi sikushauri hili mana waweza ondoa kiumbe asiye na hatia na wew ukaishi maisha ya majuto maisha yako yote)
HahaaMcharaze viboko, atakapokimbilia ndo huko huko atokapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]..Bila shaka akimcharaza bakora atakimbilia kwa mama yake.Mcharaze viboko, atakapokimbilia ndo huko huko atokapo.
Mkuu naomba link au ufafanuzi wa hili
Wazee wako ndo wanajua..kuna wengine kwao mtoto wa kwanza lazma awe wa kiume sasa akija wakike unajua umepigwa..wengine ukimsingizia mtoto amalizi mwaka anakufa hii nimeshuudia mm mwenyewe..kuna wanaoangalia vidole yaan kuna mengi sana ila wanaojua ni wazee wako mpe mtoto baba ako na mama wana majibu.. kama hawajui DNA itakuhusu mana kuna wazee wakisasa wa .com hawana uwezo wa kujua mtoto c ukoo wao.Ukitoa Vipimo vya DNA ni kwa jinsi gani unaweza kutambua kwamba mtoto huyu siyo wako umesingiziwa au kwa kiswahili wanasema umepigwa ?
Couze kuna chalii sina imani nae wakuu.
Muwekee maji,mchele,korosho,panga,mtumbwi,nguruwe+bia, kanda za taarabu,maparaghe,zabibu, akichagua Panga ujue mullah tarme rorya akichagua maji na mtumbwi Zanzibar hyo na ukichek Hana kisogo.....[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Ukitoa Vipimo vya DNA ni kwa jinsi gani unaweza kutambua kwamba mtoto huyu siyo wako umesingiziwa au kwa kiswahili wanasema umepigwa ?
Couze kuna chalii sina imani nae wakuu.
Ukitoa Vipimo vya DNA ni kwa jinsi gani unaweza kutambua kwamba mtoto huyu siyo wako umesingiziwa au kwa kiswahili wanasema umepigwa ?
Couze kuna chalii sina imani nae wakuu.