Utamjuaje mtoto wa kusingiziwa

Ukitoa Vipimo vya DNA ni kwa jinsi gani unaweza kutambua kwamba mtoto huyu siyo wako umesingiziwa au kwa kiswahili wanasema umepigwa ?

Couze kuna chalii sina imani nae wakuu.


Njia rahisi ya kutambua mtoto wa kusingiziwa, kwanza umtambue mtoto ambaye si wa kusingiziwa, ukiweza hilo basi utamtambua huyo wa kusingiziwa.
 
Angalia kucha za vidole vya mikono na miguu,masikio,pua na mwisho kabisa mwonekano wa kichwa.Chini ya 3/5 umepigwa.
Na vipi kama nikimtazama sana naona kafanana sana na mam yake kwangu nitatambua vipi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…