Utamfahamu vipi mke mwema?

Utamfahamu vipi mke mwema?

Mke mwema ni yule atakaye vumilia shida zako akastahimili na asizitangaze...mcha Mungu...mnyenyekevu...mwenye subira...ambaye atakuwa teyari kwa hali na mali kwaajiri yako...ukimpata nijurishe na mimi nitafute
 
Mke akishakuwa na tako kubwa tu hawezi kuwa mwema. Akili zote huwa zinahamia kule
 
Ngoja nikae chonjo nipate sifa za mke mwema, nimuibukie humu humu ninayemzimikia kila siku
Hana haraka na wallet yako, anakusumbua saana ukitaka kutumia kiungo chake cha Harusi, ukimkopa pesa kidogo anakuazima.
 
Mke mwema anakuwa member wa lile group la whassup la mke mwema.
 
Sifa ya mke mwema ni mwendo wake wa kitaratibu anatembea slowy slowly...
 
Back
Top Bottom