Utambuzi wa Samsung orijino

nina sumsung J3 imetengenezwa VIETNAM je hii ni orijino kweli? ina miezi miwili na inachapa kazi vizuri tu
 
Naombeni msaada simu yangu samsung j7 prime inasumbua na sipati raha nikiwa natumia kuna apps zina display kila muda,nifanyaje ili nisipate usumbufu?
 
nina sumsung J3 imetengenezwa VIETNAM je hii ni orijino kweli? ina miezi miwili na inachapa kazi vizuri tu
mahala simu ilipotengenezewa sio issue, inaweza andikwa made in usa au england na ikawa fake.

cha muhimu alietengeneza ni samsung mwenyewe? je vitu vilivyotumika ndani ni original?
 
Naombeni msaada simu yangu samsung j7 prime inasumbua na sipati raha nikiwa natumia kuna apps zina display kila muda,nifanyaje ili nisipate usumbufu?
Naombeni msaada simu yangu samsung j7 prime inasumbua na sipati raha nikiwa natumia kuna apps zina display kila muda,nifanyaje ili nisipate usumbufu?
nenda setting halafu security halafu device administrator kuna nini na nini?
 
Weka Samsung master code *#1234# display Firmware
Au
*#2222# display hardware version
Au
*#2767*3855# Reset
Au
*#0*# Test mode
Ukiweka hvo ndo inakuaje tena mkuu,,,,msaada tafadhar kabla sijannua samsung
 
Ukiweka hvo ndo inakuaje tena mkuu,,,,msaada tafadhar kabla sijannua samsung
Hizi kitambo kidogo Nilikuwa unatumia kucheck ikifunguma na vitu Ka asenskr kuturn into green and vibrating basi unajua simu ni Og. Lakini now days Hata mafamba yanafanya hii kitu.
 
Samsung Tablet S, SM-T7045 inastack, kioo giza lakini iko on wapi kuna mafundi
Kama uliinunulia dukani na una risiti yenye waranti..jaribu kuwapelekea watakusaidia..kama sio hivyo peleka kwa fundi simu mtaalamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…