Utambulisho!

Utambulisho!

Mengulu

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
15
Reaction score
1
Wakubwa shikamooni,warika langu mambo vp?Wadogo zangu nipeni vifijo na nderemo.
Napenda kujumuika nanyi ktk hili jukwaa.Umri wangu ni miaka 25,ni kijana wa kiume,tena rijali.Ni matumaini yangu kuwa mtanipokea kwa stahiki.
 
Karibu sana kijana. Unapaswa kukaguliwa na mwanamke rijali aitwaye Madame B ambaye ndiye mkaguzi mkuu wa wanaume while wanawake hukaguliwa na @Asrin ambaye ndiye mkuu upande wa wanawake.
 
Last edited by a moderator:
Marahaba, karibu sana mengula

Wakubwa shikamooni,warika langu mambo vp?Wadogo zangu nipeni vifijo na nderemo.
Napenda kujumuika nanyi ktk hili jukwaa.Umri wangu ni miaka 25,ni kijana wa kiume,tena rijali.Ni matumaini yangu kuwa mtanipokea kwa stahiki.
 
Last edited by a moderator:
Karibu JF, karibu Chitchat....
Kama una shida ya hela za matumizi madogo madogo, usisite kuniandikia barua halafu utaiacha kwa secretary wangu!
 
Back
Top Bottom