Utambulisho

Utambulisho

Eliya

Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
9
Reaction score
4
Wandugu/dada, kwa heshima na taadhima nawasalimuni. Nimekuwa nikifuatalia forum hii na nimejifunza mengi. Hatimae nimeamua kujisajili rasmi kwa nia ya kubadilishana uzoefu. Naomba mnikubali kama mmoja wenu. Ahsanteni.
 
karibu sana.
Atakuja chatu dume kukuletea maji ya kunywa. We subiri hapo2!
 
Karibu sana maji ya kunywa..Sweetlady amekuombea, lakini nakuonya mkuu, usiwe na jazba
 
70.jpg
 
Karibu ila ukija ugenini usiwe mwepesi wa kuongea ila mwepesi wa kusikiliza ndo utoe mchango wako wa mawazo. jamani mleteeni soda mugeni!!!!!!!
 
Back
Top Bottom