Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,053
- 3,268
Pre form five unasoma wapiNawewe ulihitimu mwaka Jana nn??
Kuna swali moja kati ya matatu lilikua linahusu bacteria
Mengine skumbuki vzr maana sinaga ability na spend kukumbuka maswli ya mtihani nlofanya
