nzoka ya pi
Senior Member
- May 16, 2017
- 153
- 107
Ndugu wanajukwaa kwa heshima na taadhima kuu naomba mnipokee Kundini mimi mwanachama mpya humu.ahsante
Karibu sana JFNdugu wanajukwaa kwa heshima na taadhima kuu naomba mnipokee Kundini mimi mwanachama mpya humu.ahsante
Mgeni mzuri mambo?Karibu mgen mwenzangu
Salama kabisa mpendwa mambo vpMgeni mzuri mambo?
Salama kabisa mpendwa mambo vp
Na ww pia karibuKaribu mgen mwenzangu
Hajapewa salamu yeye nashangaa anaitika!
Taratibu mkuu nitaendana na kasiHajapewa salamu yeye nashangaa anaitika!