Elisha Kigahe New Member Aug 16, 2022 3 4 Aug 17, 2022 #1 Habari! Jina langu ni Elisha Kigahe. Nimevutiwa kuwa mmoja wa wajumbe wa JF. Naomba mnipokee.
Kapumpuli JF-Expert Member Aug 11, 2018 1,826 2,299 Aug 17, 2022 #2 Haya... Karibu sana! Jisikie huru.. Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,119 10,758 Aug 17, 2022 #3 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
google helper JF-Expert Member Jun 11, 2013 9,629 13,694 Aug 17, 2022 #4 Elisha Kigahe said: Habari! Jina langu ni Elisha Kigahe. Nimevutiwa kuwa mmoja wa wajumbe wa JF. Naomba mnipokee. Click to expand... Huna haja ya kujitambulisha sanaaa wewe changia, toa mada zenye uwezo wa Great thinker then boooom wote watakujua
Elisha Kigahe said: Habari! Jina langu ni Elisha Kigahe. Nimevutiwa kuwa mmoja wa wajumbe wa JF. Naomba mnipokee. Click to expand... Huna haja ya kujitambulisha sanaaa wewe changia, toa mada zenye uwezo wa Great thinker then boooom wote watakujua
Centia2 JF-Expert Member Feb 20, 2020 1,018 1,622 Aug 19, 2022 #6 Karibu sana ila kuna baadhi ya majukwaa hepuka sana kutaja neno 'chai' ukiwa hiko!
Dam Boe Senior Member Jul 29, 2022 128 87 Aug 24, 2022 #7 Elisha Kigahe said: Habari! Jina langu ni Elisha Kigahe. Nimevutiwa kuwa mmoja wa wajumbe wa JF. Naomba mnipokee. Click to expand... Umepokelewa uko sehem salama
Elisha Kigahe said: Habari! Jina langu ni Elisha Kigahe. Nimevutiwa kuwa mmoja wa wajumbe wa JF. Naomba mnipokee. Click to expand... Umepokelewa uko sehem salama