Utambulisho mpya wa Jiji la Dar es Salaam

Utambulisho mpya wa Jiji la Dar es Salaam

WE ARE ANONYMOUS

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2015
Posts
217
Reaction score
284
Jiji la Dar es Salaam linakuwa kwa kasi kubwa,
Miaka ya zamani jiji hili lilikuwa linatambulishwa kwa kuona picha ya ghorofa la kitega uchumi (ukiachilia mbali mnara wa askari), baadae yakajengwa majengo mengine marefu na jengo la kitega uchumi likafunikwa, likaja jengo la Benjamin Mkapa Tower, (Zamani mafuta house), na sasa zama za jengo la benjamin mkapa tower pamoja na PPF tower zimeshapita, na kwa sasa utambulisho mpya ni haya majengo yaliyopo jirani, ghorofa la PSPF pamoja na ghorofa la One Bandari tower ambayo yote yapo Sokoine drive.

Hii ni tofauti na jiji la Nairobi ambalo miaka nenda miaka rudi limekuwa likitambulishwa kwa picha za jengo la kituo cha mikutano cha Kenyatta.

bandari.jpg
 
Mji si lazima uwakilishwe na alama ya jengo refu au la kisasa kupita yote kwa kuwa technologia ya ujenzi inabadilika klia siku. Inatakiwa alama maalumu ya kihistoria au vinginevyo. Rio de Janeiro - sanamu ya yesu, Paris - mnara wa Eiffel, New York - liberty statue, Arusha - clock tower, Monduli - ...
 
India Taj Mahal"
 
Jiji la Dar es Salaam linakuwa kwa kasi kubwa,
Miaka ya zamani jiji hili lilikuwa linatambulishwa kwa kuona picha ya ghorofa la kitega uchumi (ukiachilia mbali mnara wa askari), baadae yakajengwa majengo mengine marefu na jengo la kitega uchumi likafunikwa, likaja jengo la Benjamin Mkapa Tower, (Zamani mafuta house), na sasa zama za jengo la benjamin mkapa tower pamoja na PPF tower zimeshapita, na kwa sasa utambulisho mpya ni haya majengo yaliyopo jirani, ghorofa la PSPF pamoja na ghorofa la One Bandari tower ambayo yote yapo Sokoine drive.

Hii ni tofauti na jiji la Nairobi ambalo miaka nenda miaka rudi limekuwa likitambulishwa kwa picha za jengo la kituo cha mikutano cha Kenyatta.

View attachment 254261

Hahahahahahahahaaa
 
Hahahahahahahahaaa
Mkuu asante kwa taarifa but usingejaribu kulinganisha Dar na Nairobi kwa sababu kwa majengo mazuri na ya kisasa Dar hayawezi kulinganishwa na Nairobi hata kidogo.
 
Uzur wa dar ni Kiangazi tu,mvua ikinyesha hata uzur wa maghorofa hupotea
 
Mkuu utambulisho wa miji hauwezi kuwa kwenye haya majengo ya kisasa tutakua tumeipiga teke historia. Ni vyema utumbulisho wa majiji ukabaki kwenye kitu cha kihistoria, ni bora hata kujitambulisha na kariakoo market
 
Yani dar unailinganisha na nairobi hata bila aibu?dar size yake ni akina bujumbura,kampala,kigali na kinshasa.
 
Dar bado sana kuingia katika ligi miji mizuri iliyopangwa vizuri kama Nairobi.Hata ukiangalia hiyo picha ni majengo duni yaliyojengwa katika nafasi finyu yenye mandhari isiyovutia.Haiewzekani kuibadilisha Dar kuwa mji wa kisasa,Huu mji unafaa kubakia kama mji mkongwe na badala yake kujenga mji wa kisasa nje kabisa ya jiji hili.
 
Safi sana mwanetu,dar ya leo sio ile ya zamani,nairobi kaa mkao wa kula maana sijui,mtaendelea kuipigia debe wakati hali halisi inajionyesha, dar inapaa.
 
Jiji la Dar es Salaam linakuwa kwa kasi kubwa, Miaka ya zamani jiji hili lilikuwa linatambulishwa kwa kuona picha ya ghorofa la kitega uchumi (ukiachilia mbali mnara wa askari), baadae yakajengwa majengo mengine marefu na jengo la kitega uchumi likafunikwa, likaja jengo la Benjamin Mkapa Tower, (Zamani mafuta house), na sasa zama za jengo la benjamin mkapa tower pamoja na PPF tower zimeshapita, na kwa sasa utambulisho mpya ni haya majengo yaliyopo jirani, ghorofa la PSPF pamoja na ghorofa la One Bandari tower ambayo yote yapo Sokoine drive.Hii ni tofauti na jiji la Nairobi ambalo miaka nenda miaka rudi limekuwa likitambulishwa kwa picha za jengo la kituo cha mikutano cha Kenyatta.View attachment 254261
utambulisho wa jiji hautegemei urefu wa jengo. Angalia utambulisho wa jiji la London na majiji ya Australia. Jengo au mnara, hata wa saa linaweza kukubalika kutokana na history au architectural design yake. Askari monument ya Dsm in utambulisho mzuri kuliko hayo majengo. Pia Azania Front na St Peters churches ni bora kuliko.Uwepo wa rangi za kungara au mataa pamoja na plastic structures mfano Sea Front bldg ni kero. or eye sore
 
Ngoja nikatembee Nairobi nione.... Tatizo alshabaab hawatabiriki
 
Watendaji wote wa nchi na jiji wapo hapa lakini maghorofa kila siku yanajengwa bila kuwa na parking. Huwa najiuliza wanashindwa nini kuwalazimishwa hao wenye majengo waweke parking angalau kwa floor 3 kama sio 5 za mwanzo? Mwenye ghorofa akikataa mnamnyima kibali cha ujenzi aende akajenge mabwepande halafu tuone huo msongamano katikati ya mji kama utakuwepo.
 
Back
Top Bottom