Nashukuru sana kwa ukaribisho wenu. Nitajitahidi nisilale humu humu. Jinsia yangu, hii nawaachia LUGHA YANGU INAWEZA KUWAPA MUANGAZA JUU YA JINSIA YANGU. Mimi walio wengi nimejaribu kuwasoma na nikahisi wanaweza kuwa ni jinsia gani (inaweza kuwa si kweli, ila wakati mwingine unaweza kukaribia ukweli)